Putin amempotezea Netanyau, Atetea S-300 kupelekwa Tehran

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,326
Reaction score
7,807
Raisi wa Russia, Vladimir Putin amempuuza Waziri mkuu wa Israel Netanyahu juu ya madai ya Moscow kupeleka S-300 Missile system Iran akisema system ile ni kwa ajili ya ulinzi akiita ni uamuzi wenye mashaka.

If USA gives arms to Israel which can be used to kill innocent Palestinians then ni sawa, lakini Russia akimpa Muirani system za kujilinda na Air to surface attacks then it's not right. Simuelewi huyu Bibi

Russian President Vladimir Putin has dismissed Israel’s claims over Moscow’s delivery of S-300 missile systems to Iran, saying the system is purely defensive.
On Monday, Putin signed a presidential decree that lifts a ban on supplying Iran with S-300 air defense missile systems.Russia’s decision, however, irked Israel, with Prime Minister Benjamin Netanyahu expressing “grave concerns” about the move.Netanyahu told Putin in a telephone conversation on Tuesday that the shipment of the system to Iran “would undermine the security of the Middle East." The Russian president, however, rejected the claim, saying the system was “no threat” as it is “purely defensive,” according to a statement released by the Kremlin.
3204cb8e-e2e8-4c47-af15-c5d48403b3c1.jpg
A man takes a picture of a Russian surface-to-air missile system S-300 displayed at Suvorovskaya square in central Moscow on December 8, 2014. ©AFP Moscow had put a ban on the delivery of the system to Tehran in 2010 under the pretext that that the agreement it signed with Tehran in 2007 was covered by the fourth round of the United Nations Security Council sanctions against Iran over its nuclear program. The resolution bars hi-tech weapons sales to Tehran.Following Moscow’s refusal to deliver the system, Iran filed a complaint against the Russian arms firm, Rosoboronexport, with the International Court of Arbitration in Geneva.Russia’s decision to lift the ban against the Islamic Republic comes after Iran and the P5+1 group of countries - five permanent members of the UN Security Council plus Germany - reached a mutual understanding on Tehran’s nuclear program in the Swiss city of Lausanne on April 2. The two sides are now expected to start drafting a final inclusive deal by the end of June.

Source: PressTV-Putin dismisses Bibi's claim over S-300
 
Safi sana.
Wacha wazikusanye Wairani pamoja na Hizo Nyuklia wanazozipika.
Wayahudi hawana raha tena mpaka kufa kwao.
Mashetani sana wale. Bora wasambaratishwe tu.
Wametuulia mpaka yesu wetu halafu bado wanajisifu eti akitokea watamuua tena.
 
Safi sana.
Wacha wazikusanye Wairani pamoja na Hizo Nyuklia wanazozipika.
Wayahudi hawana raha tenna mpaka kufa kwao.
Mashetani sana wale. Bora wasambaratishwe tu.
Wametuulia mpaka yesu wetu halafu bado wanajisifu eti akitokea watamuua tena.

Yesu ilikua lazima afe kwa mujibu wa maandiko. Na wala hatuwachukii wayahudi kwa kumuua Yesu.
Kifo chake ni ushindi kwa wanadamu wote ulimwenguni.
Ilikua ni lazima shetani aoneshwe kwamba hata ukilibomoa hekalu la Mungu lililojengwa kwa karne nyingi,yeye aweza kulijenga tena kwa siku tatu tu. Haleluya!
 
just google.kwa nini wayahudi hawamtambui yesu halafu urudi hapa
 
Yesu ilikua lazima afe kwa mujibu wa maandiko. Na wala hatuwachukii wayahudi kwa kumuua Yesu.
Kifo chake ni ushindi kwa wanadamu wote ulimwenguni.
Ilikua ni lazima shetani aoneshwe kwamba hata ukilibomoa hekalu la Mungu lililojengwa kwa karne nyingi,yeye aweza kulijenga tena kwa siku tatu tu. Haleluya!

Akili ya Kipumbavu ni matatizo tu.
Yesu auwawe kwa Kifo cha laana halafu Ushindi mpate nyie?
Kama ni rahisi hivyo Mpeleke babako basi akasulubiwe na Mimi nishinde basi.

Kama huna Habari Hakuna MYAHUDI HATA MMOJA akampenda MKRISTO.

Na Hilo kama Hujui basi Subiri kufa tu manake viumbe akili maji km nyie mnamaliza oxygen tu bora ya mbuzi unaweza kula.
 
Pinguza jazba.
 
saf xana nimeuPenda uamuzi wa russia namshangaa huyo kichaa netanyahu anakasirika bure
 
Hakuna jazba hapa mkuu. Natoa darasa la bure kwa watu wenye ufinyu wa akili na ili waelewe lzm nitumie Herufu kubwa ktk kudadavua mambo.
Usiogope.

Wewe ni mjinga tu hujui lolote,kufa umfuate huyo muuaji mwenzako pol pot.
 
Huna haja ya Kugioogle Waislam ndio Hawampendi Yesu kabisa....

Quraan 3:45
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ

Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).

QURAN2:136.

قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنْزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِنْ رَبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

QURAAN 2:87

وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَقَفَّيْنَا مِنْ بَعْدِهِ بِالرُّسُلِ ۖ وَآتَيْنَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ الْبَيِّنَاتِ وَأَيَّدْنَاهُ بِرُوحِ الْقُدُسِ ۗ أَفَكُلَّمَا جَاءَكُمْ رَسُولٌ بِمَا لَا تَهْوَىٰ أَنْفُسُكُمُ اسْتَكْبَرْتُمْ فَفَرِيقًا كَذَّبْتُمْ وَفَرِيقًا تَقْتُلُونَ

Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.

NA Hii ya Mwisho ni KWA MAKAFIRI WALIOSEMA Yesu (Isa mwana wa mariam) KAUAWA MSALABANI.

QURAAN 4:157
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَٰكِنْ شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِنْهُ ۚ مَا لَهُمْ بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu.

Wenye kumtukana na Kumdaharau Yesu (isa mwana wa Mariam) ni WAYAHUDI NA WAKRISTO.
Mwenyezimungu atawadhalilisha Dunia na Akhera Kwa kashfa zao.

Amin.
 
Akili ya Kipumbavu ni matatizo tu.
Yesu auwawe kwa Kifo cha laana halafu Ushindi mpate nyie?
Kama ni rahisi hivyo Mpeleke babako basi akasulubiwe na Mimi nishinde basi.

Kama huna Habari Hakuna MYAHUDI HATA MMOJA akampenda MKRISTO.

Na Hilo kama Hujui basi Subiri kufa tu manake viumbe akili maji km nyie mnamaliza oxygen tu bora ya mbuzi unaweza kula.

Mbona unafoka povu kama umekula sumu, tuliza mihemko.
 
Quraan 3:45
إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ

Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu).

QURAN2:136.

قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنْزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنْزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِنْ رَبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

QURAAN 2:87

وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَقَفَّيْنَا مِنْ بَعْدِهِ بِالرُّسُلِ ۖ وَآتَيْنَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ الْبَيِّنَاتِ وَأَيَّدْنَاهُ بِرُوحِ الْقُدُسِ ۗ أَفَكُلَّمَا جَاءَكُمْ رَسُولٌ بِمَا لَا تَهْوَىٰ أَنْفُسُكُمُ اسْتَكْبَرْتُمْ فَفَرِيقًا كَذَّبْتُمْ وَفَرِيقًا تَقْتُلُونَ

Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.

NA Hii ya Mwisho ni KWA MAKAFIRI WALIOSEMA Yesu (Isa mwana wa mariam) KAUAWA MSALABANI.

QURAAN 4:157
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا الْمَسِيحَ عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ اللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَٰكِنْ شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ لَفِي شَكٍّ مِنْهُ ۚ مَا لَهُمْ بِهِ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا اتِّبَاعَ الظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًا

Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu.

Wenye kumtukana na Kumdaharau Yesu (isa mwana wa Mariam) ni WAYAHUDI NA WAKRISTO.
Mwenyezimungu atawadhalilisha Dunia na Akhera Kwa kashfa zao.

Amin.

Unaiweza hiyo dini yako ya Uongo kujibizana na mimi ume umesoma vizuri kitabu chenu hicho na sio mwisho unaleta hasira na fujo kama waislam wenzio wakiambiwa ukweli na yaliyoandikwa kwenye Koran huja na matusi tu...

Kitabu cha koran kimeandikwa miaka mingi baada ya Kifo cha Yesu hivyo hakiwezi toa ushuhuda wowote zaidi ya mambo ya kusadikika na kusikia kwa watu kama story zilivyo mtu akishasoma... Koran haiwezi kuwa ya kweli zaidi ya manabii kwani walikuwa wakisema kitatokea kitu fulani na kikatokea... Koran haijawahi kusema kuwa Mwamedi atakuja kubaka kitoto cha miaka tisa na kuja kukioa... na wala haijawahi kutoa ruksa... Huyo Mwamedi alishindwa kufuata kitabu alichopewa pangoni na Shetan lilipomuingilia na Shahidi alikuwa ni Mkewe Khadija akidhibitisha...

Na Katika Historia yote au popote Duniani Mtoto wa Mariam hakuwahi kuitwa Isa huo ni Urongo wa Koran na unaivunja ile hadhi ya kuitwa Takatifu.

Kama Mitume Mingine koran inaamini basi Koran ni kigeugeu kwani Mitume hiyo hiyo ndio ilisema na kuandika kuwa Mwana wa Mariam atakufa na kufufuka.... Ichomeni Koran Mwamedi alipewa na Shetani ambaye ndie Ka-fir kwani Haamini kama wewe ulivyo Ka-firi na Koran inasema Waislam ndio Makafiri
 
Kwanza lazima uwelewe nani nimyahudi wa kweli na nani.hawa kina natanyahu ni ashkanazi na na kuna spharic jews ni walibadilisha dini kutoka upagani na kuwa wayahudi katika karne ya nane na asili yao ni khazar original jews ni yishuv na wana nyanyaswa kama wapalestina.kwa hiyo lazima uelewe tofauti ya wayahudi wa kwali na zionist kabla hujaanza kuchambua.
 
Raisi wa Russia, Vladimir Putin amempuuza Waziri mkuu wa Israel Netanyahu juu ya madai ya Moscow kupeleka S-300 Missile system Iran akisema system ile ni kwa ajili ya ulinzi akiita ni uamuzi wenye mashaka.

If USA gives arms to Israel which can be used to kill innocent Palestinians then ni sawa, lakini Russia akimpa Muirani system za kujilinda na Air to surface attacks then it's not right. Simuelewi huyu Bibi

Source: PressTV-Putin dismisses Bibi's claim over S-300
Kuwa na silaha nzuri sana hakumaanishi kushinda vita
Idd Amin wa uganda alikuwa na silaha za kisasa kuliko TZ,lkn majeshi yetu yalimshughulikia kama vile amekaa.

Kushabekia vita ya tatu ya dunia,wanatakiwa washabekie wengine
na kamwe siyo watanzania ambao hata net za kujikinga na mbu ni kwa msaada wa marekani.

Hizo nchi za kiarabu tunazozishabekia hazitoi chochote mpaka tujiunge na oic
au tuanzishe mahakama za kadhi na zigharimiwe na serikali.
kinacholetwa bure bila masharti ni tende na zile nyama za sikukuu ya kuchinja

Je vita kuu inayohusisha silaha za kemikali ikianza watakukumbuka?
zingatia nchi zetu hizi hata kipindupindu kinatuua kama kuku
sembuse magonjwa yatokanayo na silaha za maangamizi,sijui kama umejiaandaa
vipi kupona.Waswahili walisema mafahari wawili wakipigana kinachoumia ni nyasi.

Natamani tutathimini kabla ya kuamua kutenda au kusema.
 
Back
Top Bottom