Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣General Mark Milley, chairman of the Joint Chiefs of Staff, said Ukraine's use of HIMARS was "degrading" Russia's capabilities.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣General Mark Milley, chairman of the Joint Chiefs of Staff, said Ukraine's use of HIMARS was "degrading" Russia's capabilities.
Na urusi jeAcheni ufala...Ukrane ina hali mbaya.
Ulikuepo nawewe kwenye hicho kikao kumbeTungejua kikao hicho ni cha hatari tungeionea huruma Ukraine.
Zelensky atakuwa assasinated kati ya July 30 hadi Aug 1. Na wauaji ni USA, ila msala umwangukie Russia. Sasa wanajadili hii smooth killing ifanyikaje.
Hizo Himmaris si kitu.
Week hii Kyiev itakuwa naugulia hiyo ndio habari mbaya.
Na kunaposibility ya Nukes by Aug ya NATO vs Russia ikatokea
Urusi hakutatua shida ya Javelin, ila alikimbia Kyiv. East Ukraine ni maeneo ya tambarare kubwa hivyo inahitaji silaha za masafa marefu ili kukubaliana na Urusi. Mazingira ya vita mazingira yakibadilika, Javelin zitaendelea kupiga mzigo.Ukweli ni kwamba pamoja na Urusi kusonga mbele,Ila HIMARS ni tatizo,inabidi wabadikishe ,au walete Silaha inayoshabihiana na na HIMARS. Ndio maana Putin alirudi haraka ikulu usiku kipindi flani baada ya hizi HIMARS kuja Ukraine. Naamini Urusi itakuja na ufumbuzi kuhusu HIMARS,kama ilivyotatua swala la Javelin, Howtizers nk
Leta facts na takwimu tuone umekaaje vibaya uchumi wa USA?Atutumia rasilimali zake zote zitakamsaidia kurejea backbencher. Hizo heavy WD ndizo hizo hugharibu maisha ya Marekani.
Uchumi wa US umekaa vibaya....
Aiseee, wewe hata makofi ungestahili kuchapwa.Atutumia rasilimali zake zote zitakamsaidia kurejea backbencher. Hizo heavy WD ndizo hizo hugharibu maisha ya Marekani.
Uchumi wa US umekaa vibaya....
Mpaka sasa russia ameshajitutumua sana, ila US ndo kwanza anaanza kupasha.USA ni USA tuuu..hiyo midude inawahemesha Russia na imepelekwa michache tu...VP ukija full mkoko...AF mnasema Russia super power
Hii ramli kiboko. Vp uko pande zipi ndugu mganga? Kuna jirani yangu mwanga nataka tufanye kazi.Tungejua kikao hicho ni cha hatari tungeionea huruma Ukraine.
Zelensky atakuwa assasinated kati ya July 30 hadi Aug 1. Na wauaji ni USA, ila msala umwangukie Russia. Sasa wanajadili hii smooth killing ifanyikaje.
Hizo Himmaris si kitu.
Week hii Kyiev itakuwa naugulia hiyo ndio habari mbaya.
Na kunaposibility ya Nukes by Aug ya NATO vs Russia ikatokea
Acha urongo unajua bajet aliyotumia US Vietnam wewe? Na bado hajawahi kutoka pale juuAtutumia rasilimali zake zote zitakamsaidia kurejea backbencher. Hizo heavy WD ndizo hizo hugharibu maisha ya Marekani.
Uchumi wa US umekaa vibaya....
Russia amebugi sana hii anayiita operation sasa miezi 6 bado anakata mbuno tuliambiwa ni super power, Marekani sayansi inafanya kazi putini yeye anatumia mdomo kutisha tisha tu hana kitu, sasa anaomba msaada wa drons kutoka Iran
ukute na mke anapigiwa na houseboy hajui ila anajua ya Ukraine na UrusiMTU unaishi matombo unajua taarifa za ndani za Ukraine na US kuliko taarifa za Sebuleni kwako.
This is so annoying
akil kisoda yaan kukataa utumwa kwa kutaka ukraine , Taiwan ,Hongkong , Iraq , watumwa ? hii ndo namna ya kukataa utumwa ? wenzio wwnashabikia Urusi wananufaika na hizo dhambi ila ww mbirikim upo dona country unatuchaliwa hewa kwa ushabiki wakoMungu ibariki Russia, NKorea, Iran, Venezuela, China,Tanzania na zote zinazokataa utumwa
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]The Russian payment system "Mir" will soon start working in Iran, there are agreements on this matter - RIA Novosti with reference to the Deputy Foreign Minister of Iran[emoji91][emoji91][emoji91]
Israel huvamiwa then unawarudisha maadui mpk kwny ardhi yao huu ndo uteule hupig mpk uchokozwe , ila huyo Urusi kila siku anavamia nchi za watu
yaan Urusi na vi mia mia vyake yupo vzr ila anaekupa tillion moja uchumi wake upo vby , hiv vituko vipo bongo tuAtutumia rasilimali zake zote zitakamsaidia kurejea backbencher. Hizo heavy WD ndizo hizo hugharibu maisha ya Marekani.
Uchumi wa US umekaa vibaya....
hahahaaaaHimas ni kama vumbi la mkongo ,sasa hivi mrus anaanza kutoa miguno balaa
miaka yote alikuwa amesha maliza vita kabakia kama sehem ya mikataba ya Ulinz sio siku zote alikuwa anapigana vita HPNUS Afghan kakaa miaka mingapi? Vita siyo lele mama. Haijalishi unapigana na nani?
Jiheshimu , jamiiforum sio buzaUch.i mkubwa wewe. Maa.ma.e zako.
Unastahili kupigwa
Warusi wanajua kujifariji ,wenyewe hapo Afghanistan walikula mkono wa kufa mtu ,Osama hawatak hata kumsikiamiaka yote alikuwa amesha maliza vita kabakia kama sehem ya mikataba ya Ulinz sio siku zote alikuwa anapigana vita HPN