Putin aitisha kikao kuijadili Himars

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Kumekucha inaonyesha HIMARS zinawanyima usingizi Russia mpaka bwana putin kuitisha kikao kuijadili hiyo HIMARS

Swali chokozi...HIMARS ni tishio kwa Russia?
Je Russia hajui zinapotoka HIMARS?
Ataendelea kuumia au atazizuia zinakotoka?

na USA kwa upande mwingine amesema ataweka mzigo wa HIMARS pale Ukraine hadi zifike 20 inaonyesha idadi ndogo za hizo HIMARS Russia anakiona cha moto

Wale wa russia wa mbande/kisiju/ikwiriri/chanika na bila kuwasahau wale wa manarumango karibuni...MAPOVU RUKSA.
===
Russian President Vladimir Putin will hold a cabinet meeting on Monday with senior officials, amid concerns about Ukraine's High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS) from the United States that Western officials claim hamper Moscow's war efforts.

The rocket systems first arrived in Ukraine in June from the U.S and have been seen as crucial to helping Kyiv's forces repel the Russian military.

The Russian state-backed TASS news agency reported on Monday that Putin will hold the cabinet meeting via videoconference on Monday, with the main topics being the development of air transport and aircraft manufacturing. Deputy Prime Minister and Trade Minister Denis Manturov, and Transport Minister Vitaly Savelyev will give presentations at the meeting.

The Kremlin said "a number of current issues will also be considered," without providing more details, but it is likely that a response to HIMARS will be broached at the meeting, according to TASS. Putin last met with top officials on July 15, when he held a meeting of Russia's Security Council.

Western officials have touted the threat HIMARS poses to Moscow. American-made HIMARS can carry either six guided rockets with a range of around 40 miles, or a single Army Tactical Missile System (ATACMS), with a range of almost 200 miles.

A senior U.S. defense official told reporters on Friday that Ukraine had used HIMARS to destroy more than 100 "high value" Russian targets in recent weeks. The official said that among those targets were ammunition depots, long-range artillery positions, command posts, air-defense sites, and radar and communications nodes.

Retired U.S. Army General Mark Hertling called the HIMARS a "game changer" on Saturday and said that Moscow's forces are now "in dire shape." He said that HIMARS has a greater range, precision and accuracy than most of the weapons Ukraine is using to fight Russian forces.

On Friday, the White House announced that an additional $270 million in security assistance would be sent to Ukraine, including four more HIMARS. That same day, Ukraine denied Russia's claim that it destroyed four HIMARS launchers.


General Mark Milley, chairman of the Joint Chiefs of Staff, said Ukraine's use of HIMARS was "degrading" Russia's capabilities.

Earlier on Monday, the British Ministry of Defence said Russia is likely continuing to "struggle" to extract and repair thousands of Russian combat vehicles that have been damaged during the war in Ukraine.

Putin invaded Ukraine on February 24, in what he called a "special military operation" against what he claimed was the eastward expansion of NATO and with an aim of "de-nazifying" Ukraine's leadership. Ukrainian President Volodymyr Zelensky is Jewish and has lost family in the Holocaust.

Thousands of troops have died since the war began, while millions have been uprooted from their homes.

Chanzo: Newsweek
 
... kama HIMARS zimefikia hatua ya kudungua hadi S-300 lazima kikao cha dharura kiitishwe. Sio zana ya mchezo.

Dude lililotakiwa liizuie ndio limeliwa kichwa na zana ileile lililotakiwa kuitungua; ni habari mbaya sana kwa warusi.
 
Tungejua kikao hicho ni cha hatari tungeionea huruma Ukraine.

Zelensky atakuwa assasinated kati ya July 30 hadi Aug 1. Na wauaji ni USA, ila msala umwangukie Russia. Sasa wanajadili hii smooth killing ifanyikaje.

Hizo Himmaris si kitu.

Week hii Kyiev itakuwa naugulia hiyo ndio habari mbaya.

Na kunaposibility ya Nukes by Aug ya NATO vs Russia ikatokea
 
images.jpeg
 
Tungejua kikao hicho ni cha hatari tungeionea huruma Ukraine.
Zelensky atakuwa assasinated kati ya July 30 hadi Aug 1. Na wauaji ni USA, ila msala umwangukie Russia. Sasa wanajadili hii smooth killing ifanyikaje.
Hizo Himmaris si kitu.
Week hii Kyiev itakuwa naugulia hiyo ndio habari mbaya.
Na kunaposibility ya Nukes by Aug ya NATO vs Russia ikatokea
Aisee kwahiyo hayo ndo maazimio ya kikao....kwahiyo wewe ulikuwepo
 
Tungejua kikao hicho ni cha hatari tungeionea huruma Ukraine.
Zelensky atakuwa assasinated kati ya July 30 hadi Aug 1. Na wauaji ni USA, ila msala umwangukie Russia. Sasa wanajadili hii smooth killing ifanyikaje.
Hizo Himmaris si kitu.
Week hii Kyiev itakuwa naugulia hiyo ndio habari mbaya.
Na kunaposibility ya Nukes by Aug ya NATO vs Russia ikatokea
Kuhusu nuke labda yesu arudi.... Russia imedhihilisha jinsi ilivyo mbovu kivita kiwilaya tu cha Ukraine miezi sasa aisee alafu anatishia battle na usa si atakunya.... Russia bila nuke sawa na Ruvu jkt
 
Russia amebugi sana hii anayiita operation sasa miezi 6 bado anakata mbuno tuliambiwa ni super power, Marekani sayansi inafanya kazi putini yeye anatumia mdomo kutisha tisha tu hana kitu, sasa anaomba msaada wa drons kutoka Iran
 
Back
Top Bottom