bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 189
Weka picha ya wazazi.
anasema ndo wamezaliwa picha si itakuwa ya vitoto vya panya,jamaa nj .a a sana huyu mbwa kazaa tu kashaweka bango uenda ikawa huyu ni shanta tu kasikia kwa jirani mbwa kazaa anatega.kuwa na subra adi wafkishe miez wiki 10 adi 15 wanyonye na wapewe chanjo ya magonjwa ya mbwa wadogo.
daah so kama mimi naenda kumtelekeza vijijini kula mizoga ya kuku huko hunipi? regadless ninayo laki tano?Asante kwa ushauri: Kama ni mzoefu wa kufuga mbwa utakubaliana nami kuwa ukitunza vizuri mbwa (wazazi na puppies) baada ya wiki 6 - 8 puppies wanaweza kuanza kujitegemea. Mbwa wamezaliwa 6, wa-2 nabaki nao mwenyewe, the rest nawatoa kwa anayehitaji, kutangaza mapema inakusaidia kuplan na mnunuzi/mhitaji lini atakuwa tayari kuwachukua na namna gani umsaidie....kwa mfano kumbuka ninapotengeneza kadi za chanjo lazima nihakikishe details za potential owner zipo correct....ndiyo namna tunavyofanya wafugaji tunaofuata masharti! Mbwa ni sehemu ya familia, hutoi tu mbwa kwa nia ya kupata fedha, kila mfuh=gaji wa mbwa angependa kuona mbwa anakwenda kwenye familia itakayomjali.....
daah so kama mimi naenda kumtelekeza vijijini kula mizoga ya kuku huko hunipi? regadless ninayo laki tano?
we kazi yako ni kuuza tu bana ..kama naenda kumchinja au vipi haikuhusuSmile, lets be serious! Its not only about money......