Hayo ya blue yamejipanga msururu ndio ma coaster?Matatu hizo ni isuzu zinaletwa zikiwa na zero KM. Usifananishe na hizo coaster za mwaka 1980.
Endelea kuishi ndoto zakoHayo mabasi ya mwendo kasi ukiyaona kwa video za kwenye Youtube au mapicha yanatamanisha na kupendeza, ila sasa wahoji wakaazi wa Dar wanao yategemea ndio upate mziki wa kero zake.
Kwa uzoefu wangu wa kuishi miji yote miwili tena kwa muda mrefu, yaani tu pamoja na kero za matatu/daladala zetu hapa Nairobi ila zipo nafuu kwa mbali sana ukilinganisha na kero za Dar.
Haisaidii kitu, chassis na suspension zake ni za malori, ni ngumu (stiff) kwaajili ya mizigo. Sasa unapoyatumia kwa binadamu inaumizi mgongo.Matatu hizo ni isuzu zinaletwa zikiwa na zero KM. Usifananishe na hizo coaster za mwaka 1980.
1. Kinshasa
2. Dar es salaam
3. Nairobi
Kwa Azizi Ali sio City, kule Ni Temeke ManispaaKwa azizi Ali hayo ya blue sijawahi yaona
Mie ni mkenya lakini matatu ni UCHAFU UCHAFU UCHAFU.
Ipo siku tutanusurika na hili janga na uchafu.
Nimeitembelea Dubai, Saudi Arabia, Cairo, Kuwait City, Doha hata Baghdad wala hamna machafuko na uchafu huu unaoitwa matatu.
So ghettoish so classless, big international cities should have clean, quiet, orderly, uniformly and timely transportation.
Kwa kweli huwa sizipendi hizi, graffiti, kelele, touts, reckless driving. Hizi ziruhusiwe kule ghetto sijui Kariobangi zisije katikati mwa jiji abadan.
Imagine Uperhill sijui Westlands business district na ughetto kama huu wapi na wapi?
Jamani wakenya tuache kusifia uchafu na macahafuko kama haya,inaelekea akili zetu zipo na kasoro.
Ubepari wa kuazima.Unajua Kenya ni nchi ya kibepari, kila muwekezaji ana uhuru wa kupamba matatu zake atakavyo, inategemea wewe mkaazi wa maeneo gani, kwka mfano kwetu huku tuna mabasi makubwa makubwa na yote yamepakwa rangi ya kijani, hayana hiyo michoro, tunasafiri kwa raha zetu kama tumetulia na yapo mengi hivyo uhakika wa usafiri upo muda wote, huwa hainichukui hata dakika mbili stendi, nayategemea hata kuliko gari binafsi au taxi.
Wewe unajulikana,ni afadhari hata usinge comment hapa...akili zako ndogo hua tunazijuaHayo mabasi ya mwendo kasi ukiyaona kwa video za kwenye Youtube au mapicha yanatamanisha na kupendeza, ila sasa wahoji wakaazi wa Dar wanao yategemea ndio upate mziki wa kero zake.
Kwa uzoefu wangu wa kuishi miji yote miwili tena kwa muda mrefu, yaani tu pamoja na kero za matatu/daladala zetu hapa Nairobi ila zipo nafuu kwa mbali sana ukilinganisha na kero za Dar.
WivuuuuuuuHayo mabasi ya mwendo kasi ukiyaona kwa video za kwenye Youtube au mapicha yanatamanisha na kupendeza, ila sasa wahoji wakaazi wa Dar wanao yategemea ndio upate mziki wa kero zake.
Kwa uzoefu wangu wa kuishi miji yote miwili tena kwa muda mrefu, yaani tu pamoja na kero za matatu/daladala zetu hapa Nairobi ila zipo nafuu kwa mbali sana ukilinganisha na kero za Dar.
Akiandika vitu vinavyo kufurahisha ni mkenya ila akiandika vitu usivyo vipenda unampa uraia wa Tanzania.Mkenya na unasema matatu ziko upperhill? Eti matatu ni chafu??
Wacha kujivisha uraia na uache uwongo kubali kwenu Tanzania kwa corona
Yaasini sisi tuna corona je ninyi mnanini?Mkenya na unasema matatu ziko upperhill? Eti matatu ni chafu??
Wacha kujivisha uraia na uache uwongo kubali kwenu Tanzania kwa corona
Nafikiri kwenye public transport Rwanda na Tanzania wako vizuri saana compared to other East African countries as I've been all over East Africa nawapa heko kwa sababu hizi wako organized, clean, calm and collected compared na Kenya wako loud, Price Flactuation
Uganda usafiri wao wanaita taxi Ila tudogo, tuchafu, tunajaza saana.
Kenya inajulikana, Rwanda town wako very organized kwanza unalipa unakatiwa electronic tickets, mnakaaa level sit, clean and tidy, madereva wanaheshimu Sheria za barabarani, kondakta wasafi,
Nafikiri Rwanda wanaogoza then Tanzania ya pili.
Tanzania and Rwanda is way more better.