Punyua tena uone!

Kwani mteja ni yeye tu. Hapo kazi rahisi tu, ukimuona anakuja unasema na Main Switch halafu unamwambia luku imeisha aende duka la pili.
 
Dawa yake unatoa kioo unamwambia kioo kimepasuka, then unampunyua kama kawa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
acha kuzingua wewe na kumpotosha mwenzio:msela:
 
Usikute hata kinyozi ana 'mguu wa kuku' kauficha kiunoni.
 
Somalia hiyo,anytime kinaweza kunuka so BE Prepared
 
Unajuaje labda kinyozi ana kifaru chake kimepaki karibu na mzinga wa scud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…