Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Hakuna hasara wala negative effects kwa upande wa Wanaume. In fact ina faida ya kustrengthen mashine. Kwa wadada hapo Sijui
Mtoto Halali Na Hela .Mkuu jina lako lina maana gani maana kila nikikutana nalo najikuta na cheka tu.
liko tu kama lako
Ningependa kujua upande wa wadada..kwa anayejua.
Hayatuhusu ni yako wewe na rafiki yako.
sawa mkuumwambie huyo mdada anapenda kuhudumiwa(kuhongwa) kama hataweza kigezo hicho mwambie aendelee na punyeto zake.
sijui kama atakubaliana na hilo maana huyu jamaa ni mtu wa KLMMwambie hali halisi ajue anaitaka sacoss
nipige punyeto kisa siongi? huyo jamaa hajui jinsi ya kujieka mkao wa kutafutwa na BIBI Pepsi alipiwe soda yake? amazing!Habari zenu wana JF,
Huyu rafiki yangu nashindwa kumuelewa ni best yangu mkubwa wa kufa na kuzikana,ana umri kama 28 hana girl ni bahili kupindukia alhali ana maisha mazuri kidogo namnukuu"sijawai honga mwanamke na haitakaa itokee"sijamficha nikamwambia na utapiga punyeto sana,sasa jana jioni tulikutana maeneo mimi nikiwa na mdada mmoja is ma workmate jamaa ananiambia I real love nimfanyie mpango na bidada huyo anadate na kigogo muhongaji.Nipeni ushauri nifanye nini?
nipige punyeto kisa siongi? huyo jamaa hajui jinsi ya kujieka mkao wa kutafutwa na BIBI Pepsi alipiwe soda yake? amazing!
Za bure mbona zipo kibao tu tena ukizingatia ana maisha mazuri kidogo yanayoenekana?