kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
tuna mashoga wengi mitaani kuliko unavyofikiri, kama ingekuwa si kuona aibu wangejitangza kibao,.halafu si mashoga wote wenye tabia za kishoga, wengi ni maofisa kabisa wanaoheshimika, ukiwakuta wameulamba utasema du brazamen si ndo huyu
^^
Hivi neno 'eti' linatafsiri gani
^^
Achana nayo mkuu,inasadikika hupunguza uwezo wa kufikiri!
aka!! mi mgeni mtaa huo!!!
ndio kabisa , mm ni daktali hapa london uingereza, ni hakika kabisa inaleta utasa, na kama unabisha endelea kupiga puri dogo, utaona chamoto!!!!
ndio kabisa , mm ni daktali hapa london uingereza, ni hakika kabisa inaleta utasa, na kama unabisha endelea kupiga puri dogo, utaona chamoto!!!!
Puchu mara 600 duh.
huu mjadala una tija ila umevamiwa na jazba nyingine