Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
Ahsante sana,lkn hv unawezaje kuepuka kitu hiki maana nimeshindwa
Weka picha tuone
subiri ifike miaka 28 utaacha tu..imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa mpenzi ninaye lkn bado nimeshindwa kuacha,naomba ishauri jinsi ya kuacha punyeto na madhara ambayo yanaambatana na punyeto.
Weka picha tuone
avoid any kind of porn na usikae peke yako.ila suluhu ni kuoa.bro your addicted note that.
subiri ifike miaka 28 utaacha tu..
Pole kwanza: Nikupe hongera kwanza, kiwango cha wewe kutaka kuacha ni ishara nzuri tayari
Kila kitu ni maamuzi, na maamuzi yanaanzia akilini, Naelewa sio kitu rahisi lakini kinawezekana
Kwanza kabisa, Ukiwa na mpenzi wako natumai ni mdada unayempenda na unamtamani ukimwona, hivyo basi chukua muda wakati mnaandana, ku enjoy alivyo kwa kumuangalia na kumtomasa,, weka akili yote kwake,, kwanini nasema hivi, ili akiwa hayupo na una hamu ya kupiga punyeto, vuta hisia zako kwake, mpigie simu au uende ukaonane nae,, itasaidia sana
Kwa ushauri wa kiroho::: Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kwasababu wakati mwingine unashindwa kwasababu unapambana na roho za giza hivyo, piga goti usali na kumwomba Mungu ukionesha dhamira ya kuacha mbele za Mungu na utaona mafanikio,,
All the best
imenibidi niliweke wazi tu,kupiga punyeto ni jambo linalonisumbua sana kwa muda sasa.Nilianza kpindi nipo o level shule ya bweni ya wanaume kutokana na hali yenyewe ilivyokuwa.Ijapokuwa sasa mpenzi ninaye lkn bado nimeshindwa kuacha,naomba ishauri jinsi ya kuacha punyeto na madhara ambayo yanaambatana na punyeto.