Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,943
Mkuu mathcom Walioathirika kwa kupiga Punyeto na hawana kwa sasa nguvu za kiume ninawaomba watembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Unaweza pia kunitumia Email Baruwa ya pepe Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.comMkuu MziziMkavu hayo maelezo yanajitosheleza na itakuwa jibu kwa maswali kama haya ambayo hujitokeza mara kwa mara. Ila hujatoa ushauri kwa wale washaoathirika tayari jee kuna tiba yakuwatibu waathirika..?? Mimi naongezea tu kwa kusema kwamba kitendo hiki kinaweza kusababisha mishipa ya dushelele ikashindwa kufanya kazi kabisa, kwahio sio tu kupunguza nguvu za kiume bali kuna uwezekano wa kuzimaliza kabisa, na kuzirejesha ni ngumu kama inawezekana..
Mimi 49,ili hali yako kurudi sawa,yaani maumbile,kwa wale walioathirika na masturbation,wanafanyaje??vyakula kama
Ndizi,parachichi,walnunts,asparagus,vitunguu swaumu,beef,dark chocolate and ginseng...
Naweza kusema psycology inachangia ni lazima kuepuka kupiga puchu kwanza na kuepuka vishawishi vilevile jiweke busy,fanya mazoezi..Mwili wa mwanaadamu yoyote unajengeka na vyakula healthy navyo ni mboga za aina tofauti,matunda,carbohydrates(potatoes,rice,cereals),proteins(samaki,nyama,kuku) n.kMimi 49,ili hali yako kurudi sawa,yaani maumbile,kwa wale walioathirika na masturbation,wanafanyaje??
Heshima kwenu wadau,
Nimekuwa nikipiga punyeto walau mara 5 kwa siku. Mchezo huu niliuanza mwaka 2008 mpaka sasa naendelea.
Nikiwa boarding kuuacha nilishindwa, nilivyooa nikapunguza kasi... Sasa mke yupo likizo takriban miez 2, mpaka muda huu naandika huu uzi najiandaa kupiga cha tano...
Natamani niache; je, nitumie njia gani?
Wakuu,
Ni kidume cha miaka 24, nimefanya tohara Kama miezi mitatu hivi iliopita, tangu nilipofanya tohara nimekuwa na tatizo uume kusimama mara kwa mara, yaani nikiona mdada kajaaliwa neema za Mungu basi hapo uume unasimama dede kwelikweli na haushuki hadi nikapige punyeto au nifanye mapenzi na msichana, na mara nyingi nakuwa naishia kupiga nyeto au kwa housegirl wetu.
Hebu niambieni tatizo ni nini? Maana Kabla ya tohara hali haikuwa kama hivi.
Mimi ni kijana mwenye miaka 22 na huu ndio ukweli wangu kuhusu swala linalonisibu naomba msaada.
Nilivyotimiza umri wa miaka 13 ndipo nilipoanza kubalehe na nyeti yangu kuwa kubwa hapa ndipo nilipogundua kua nimebalehe.
Takribani siku zinavyokwenda na kukaa mtaani ndio nikajua kitu kinaitwa punyeto pamoja na picha za ngono. Kiukweli nikawa nafurahia sana.
Naangalia picha zile na baadae kupiga punyeto, niliendelea na michezo hiyo mpaka nikawa addicted na sikuwahi kumuwaza msichana kwani nilikuwa namuogopa. Miaka ikazidi kwenda ndipo mwaka 2009 nikaanza kuhisi utofauti.
Nikisimama uume wangu hauna nguvu na niliogopa sana. Baada ya tukio hili nikawa sina raha, nikawa naenda kwenye tiba za asili nanunua dawa lakini wapi hazikusaidia.
Nilitamani sana kuacha punyeto lakini ikawa haiwezekani kwani nikikaa hata siku tatu haziishi lazima nifanye mchezo huo.
Kwa ufupi nikawa addicted kama mlevi wa unga na nikiamka nikilala nawaza ngono tu japo nguvu sina. Nilipataga wanawake ila nikawa siwezi kusex sana sana ntafanya mara moja na saa nyingine nishindwe kabisa.
Huu ni mwaka wa tatu sina mwanamke maana wengi walinkimbia. Maisha yangu ni picha za x na nyeto.
Kila siku usiku na asubuhi lazima nifanye hivyo japo sina nguvu wala hisia kwa mwanamke ila nikiangalia x napata hisia na uume wangu husimama na hushiriki tendo la punyeto.
Huu ni mwaka wa tatu sasa mie ni punyeto tu kila siku usiku na asubuhi. Mpaka sasa kitendo hicho kimepoteza dira ya maisha yangu kwani kuna effects kibao ambazo nimezipata na natamani kulia.
1.Sina uwezo wa nguvu za kiume
2.Uwezo wa kufikiri na kutunza kumbukumbu sina
3.Japo nna umri wa miaka 22 naanza kuota kipara
4.Nachoka sana, muda mwingi nalala tu
5.Vision yangu ya macho imepungua haiko vizuri kama mwanzo
6.Nmepoteza uaminifu kwangu mwenyewe kwani najihisi nisiyestahili chochote, yaani sijiamini hata kidogo.
Mbaya zaidi sina kazi na kiuchumi siko vizuri, shuleni nilikuwa nina akili sana ila kumbe nilikua nashuka kutokana na kuvuruga kichwa ila sikujua.
Jamani punyeto ni mbaya effect yake ni ya longterm huwez kuexperience mwanzoni mpaka baada ya miaka mitano na kuendelea. Yaaani najihisi nimezeeka ama baby aliyepo katika mwili wa kijana.
Naomba msaada wenu
umeathirika kivipi? Penis haisimami au u dnt feel anythng infornt of naked woman?or what?
Umeathirika kivipi? Penis haisimami au u dnt feel anythng infornt of naked woman?or what?
uume umekua mdogo n nawahi kupiz
Ok ngoja waje...
Mkuu isco23 Hayo ndio madhara ya kupiganahisi uume unasinyaa unaku mdogo