Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.
mkuu ujue mimi huwa siwaelewi mnaposema eti unakuwa unawahi kupiga bao kisa punyeto hapana bana mi nakataa.... nimepiga punyeto kwa miaka 14 mpka sasa lakini naomba nikuhakikishie wasichana kama watatu niliokutana nao wote huwa wananikubali kwenye game.... namaanisha wanalidhika mpka wanasema basi imetosha na wakati huo wanasalender mimi nakuwa ndio kwanza hata cjapata motoHabari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo. Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto. Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia. Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.Habari wana Jf!Mimi ni kijana wa miaka 23.Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.Ahsanteni kwa ushauri constructive.
Bwana mdogo, hayo ni mapepo.unamilikiwa na mapepo,majini mahaba.Tafuta huduma ya kiroho yenye nguvu ufunguliwe.unaweza dhani ni matatizo ya kisaikolojia ama hivi ama vile but believe you me, you have been possessed by demons.Ni Yesu Kristo peke yake ndio anaweza kukufungua na kukuweke huru..., ndio maana unaseme "unajitahidi wiki hata mbili..,lakini unaanguka tena.." Yeye (Yesu) akikuweka huru, unakuwa huru kweli kweli. Ubarikiwe.Habari wana Jf! Mimi ni kijana wa miaka 23. Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa. Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena! Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu! NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA. Ahsanteni kwa ushauri constructive.
mkuu ujue mimi huwa siwaelewi mnaposema eti unakuwa unawahi kupiga bao kisa punyeto hapana bana mi nakataa.... nimepiga punyeto kwa miaka 14 mpka sasa lakini naomba nikuhakikishie wasichana kama watatu niliokutana nao wote huwa wananikubali kwenye game.... namaanisha wanalidhika mpka wanasema basi imetosha na wakati huo wanasalender mimi nakuwa ndio kwanza hata cjapata moto
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.
Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.
Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.
Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.
Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda
Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo
Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai
Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.
Mkuu Mrimi,simple like that,kuamua tu?
Nakuhakikishia nimetamani sana kuacha tabia hii chafu lakini nimeshindwa!
Tafadhali nipe hiyo namna ya kuacha please!
Mkuu Daullah hayo yote uliyoyataja yana madhara kuliko faida zake ni ndogo madhara yake ni makubwa hakuna haj tena kulizungumzia hayo masuala wakati nimesha eleza kwa kirefu hapo juu upo pamoja na mimi mkuu?Ki ukweli hli swala lnaonysha kuwa ni pana sana hasa pale ambapo wataalam wnapokuja na majibu tofauti juu ya faida na madharaya punyeto na usgaji kwa wanaume na wnawake,hivyo 2naomba ma dr wa Jf tafadhali mje na majbu sahihi ili kuondoa utata huu kwani kutokana na maelezo haya kujitosheleza na amini kwa wengne ni changamoto na wengne ni kichocheo kwao.
Nani kasema ni tabia chafu?
Just beware of chemicals, bhaaaasi! Otherwise na burudani iendelee...
Ushauri wa giza huu!
Nyie vijana mnatudhalilisha sisi wasichana na mb,unye zetu kwa kuendekeza huo ujinga.kwa kukusaidia paka pilipili kwenye mikono ya kupigia hiyo punyeto kisha piga hiyo punyeto huku unaimba 'punyeto byeex4" hii njia tunaitumia hata sisi wamama kuwafanya waache kunyonya maziwa yetu.
Njoo private nikueleze dawa, lakini wala usijali , endelea kupiga nyeto , wala sio jambo baya ni salama zaid ya ku sex na mtu acha wakucheke, una weza wacheka wao baadae kama watakau wanaishi na virusi.Habari wana Jf!
Mimi ni kijana wa miaka 23.
Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
Ahsanteni kwa ushauri constructive.