Punyeto ni nini na nini madhara yake?

Miguno ya kushindwa kupumua? Niko interested sana na hizo bulb za Camera. Kama hautajali ningependa kupata maelezo machache kuzihusu yaweza kunifaa kwenye jambo langu fulani.
 
Kwa maslahi mapana ya jamii yetu pamoja na madhara yanayotajwa mahala mahala, ninapendekeza mkuu ulisaidie jukwaa kwa kukumbushana madhara husika hususan yale ambayo una ushuhuda uzoefu nayo.
Kubwa sana ni kuwa na hisia binafsi na siyo hisia kwa mwenzi wako
 
Wewe huu uzi wako nimeufungua sasa hivi nipo kitandani alone unategemea nini? [emoji23][emoji23] Mbaya sana wewe
Hii mambo ikikuzoea utajipenda mwenyewe cute,yaan mwenzio ilifikia hatua nikahisi jamaa ni kama ananigandamiza tu nishindwe pumua mie.I don't feel yaan.Niliamua kujing'atua japo kwa mbinde sana.Saivi napenda sana dushe balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…