Moja ya vitu unvyoweza kufanya n kwanza kukubali na nafsi yako kwamba umekuwa muathirika wa hili tatizo na unataka kuacha hakikisha unajituma kuacha vitu vyote ambavyo vinaku amsha hisia zako na kupelekea kufanya hi I kitu jaribu kujiwekea mazingira mazuri ya kutokuwa peke yako n all that ila ebu kubali umekuwa muathirika kiakili n then jaribu kufuata hayo nliyosema physchological utawezaWanajamvi naombeni mawazo yenu jinsi ya kufanya ili kuacha kupiga puchu. Huu sasa ni mwaka wa 6 tangu nilianza kupiga puchu ila nimetafuta njia ya kuacha ila huwa ninashindwa. Nimekula madawa ila bado hiyo tabia ambayo sasa imekuwa tatizo la kudumu lisiloachika kama hauna maoni au ushauri kuhusu ili wapishe wenzio wanipe majibu. Asanteni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukithubutu kuacha punyeto ndo umekwisha kabisa.
Wengi wanaamini madawa ya nguvu za kiume yenye kemikali ni za vidonge kama Viagra,siku hizi hata madawa ya wataalam wetu wa tiba asilia yana kemikali,unajua kwa nini?
"Wataalam wengi wanakuza miti ya dawa kwa kutumia mbolea ili hiyo miti ikue harakaharaka wapate kufanya biashara,na sababu nyingine,hata kama mzizi wameutoa porini watauchanganya na makemikali ya kila aina ili udumu muda mrefu"
Akili kumkichwa wewe unayetumia hizi ishu.
Kemikali ninayoizungumzia hapa ni ile artificial,ambayo ina madhara kiafya kwa mwili wa binadamu.Kwani kemikali ni nini mkuu?
Vipi kama mtu huyo akiacha kupiga punyeto takribani mwaka mmoja??Anaweza kuwa sperm zake hazijakomaa yaani immature sperms,mishipa ya uume kuregea n.k na ni sahihi kwamba punyeto inasababisha sperms kukosa nguvu
Ndo hapo sasa mkuu.....hii ni noma aseeeeeKwa style hii..
Wengi ni marehemu to be.
Mbona puli imekuwa hatari kuliko kununua malaya???
sasa mbona kila kitu husababisha kifo,umeona puli tu??acha wivu?
Natambua kuwa Punyeto sio nzuri, lakini binafsi sijawahi kusikia mtu au watu wamekufa ghafla kwa sababu ya kupiga puliKufa sawa tutakufa ila punyeto inapelekea kifo cha haraka zaidi, hivi ujawahi kusikia kesi za mara za watu wanaokufa ghafla kisa puli??
Naunga mkono hojayaani leo umeandika pumba kabisa kuliko siku yoyote,halafu huku ni jukwaa la doctors acha kuandika bila fact. elezea kiundani point zako sio unaungaunga tu dots kama jukwaa la historia