MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Hilo ni dume. Majasusi tumeshagundua. 97% sure.Wanaume wa jeiefu mnaitwa huku
Kumbe 😳😳Hilo ni dume. Majasusi tumeshagundua. 97% sure.
Mods wenyewe wanawashangaa nyie wajinga mnaolazimisha mm niwe mwanaumeMods hili dume why mnaliacha upto this time? Shida nini mods?
Shida mijianaume ya jf mmezoea kuwaonea wanawake wa jf wakitokea wa kuwaonesha ujinga wenu mnakasirika.Hilo ni dume. Majasusi tumeshagundua. 97% sure.
Iyo mbinu nishaigundua acha ukweli usemwe.Vijana wa kiume wanazidi kupukutika [emoji34][emoji34]
Acha kuni quote we ch**ko, endelea kuuza puruIyo mbinu nishaigundua acha ukweli usemwe.
Mtafute hela.
Tupo busy na kulijenga taifaWanaume wa jeiefu mnaitwa huku
Sina muda na kupishana na mwanaume anayetumia WIFI ya ofisiniAcha kuni quote we ch**ko, endelea kuuza puru
Kwani wamekufanya nini hazia nyama kidogoNimejisikia kuumia sana.
Wala sikuwa kudhani wanaume wa humu ndani mna roho mbaya namna.
[emoji42][emoji26][emoji26]ubaya wangu Mimi nikuamua kueleza ukweli wa Yale mambo wanawake tunayopitia ila nimeishiwa kutukanwa na watu humu ndani.
Wanaume hata kama ni maisha magumu na nguvu hamna dk 2 chali ila mnisamehe sana mie ninayewaambia ukweli.
Nitawashauri mambo matatu tu kama mkiyazingatia yatawafanya mpunguze chuki zenu binafsi na muache kulia lia njaa eh.
Usafi mjitahidi,
Mtafute hela Muwe na maisha mazuri hata mpate chakutuonga.
Muwe na Tunguvu hata tudogo vya kiume muache kutuachia shombo.
Chuki hazijengi ,wanaume wa jf muache Roho mbaya haijengi.
Mnastress za maisha.
Mchana mwema.
Nawapenda.
Hahaha😂😂😂
Yaani tuhangaike ili tupate kukuhonga? Unajua hongo anapewa nani?Nimejisikia kuumia sana.