Punguzeni kuwanga jamani

Nakazia tu kwenye taa... muwe na taa yenye mwanga mdogo sana au mwanga wa Rangi rangi kama blue au green...

mambo ya kuangaliana usoni Direct kama majogoo yanayogombana hapanaπŸ˜…πŸ˜…

ikufikie Jeep rubicon
Kwakweli sio poa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Sisi tunaokaa nyumba za giza tunakomenti wapi, au ndo tulale na vibatari
 
Wengine miili yetu makovu kibao kama tumechomelewaa, ukijumlisha na ile tetekuwanga nliopona naanzaje kukaa kwenye mwangaπŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…