Punguza stress na hii mbinu ya ajabu ya jogoo

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji.
Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona
jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya.
Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo
kati ya majogoo;
JOGOO MZEE: Karibu dogo, karibu sana nadhani tutashirikiana vizuri ili kuhakikisha hawa kuku
wanataga mayai
JOGOO DOGO: Wewe umeshazeeka ndio maana
nimeletwa mimi damu mpya. Hakuna kushirikiana
wala nini umekwisha wewe
JOGOO MZEE: Kama unaona nimekwisha basi tufanye mashindano unipime
JOGOO DOGO: Mashindano gani?
JOGOO MZEE: Tushindane mbio tuzunguke nyumba
mara mbili, ukishinda mi najitoa. Ila kwa kuwa mi
mzee naomba uniache nianze kama hatua kumi
mbele JOGOO DOGO: Poa sana hiyo haya anza kukimbia...
mbio zikaanza, walizunguka nyumba mara moja tu,
mkulima akamfwata JOGOO DOGO akamkamata na
kumchinja huku akilalamika
MKULIMA: Yaani dunia imeharibika, huyu Jogoo wa
sita sasa namnunua badala ya kufukuza majike analeta ubasha hapa. Yaani Museveni yuko sawa
kabisa.
''Maumivu Yakizidi Muone Daktari''
 
Dah mwana hii ni kali zaidi....mbavu nje!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom