madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
sasa unatafutaje pesa bila kuwa na involvement na marafiki mkuu..au pesa unatafutiaga angani ww mkuu.jamaa yuko very right na mada yakeHayo yote huwa yanakuwa covered kama utajikita kutafuta hela.
Tafuta pesa mkuu, hayo mengine yatajisumbukia
Usichanganye 'marafiki' na 'wafanyakazi wenzio' au 'wafanyabiashara wenzio' rafiki si lazima ahusike ktk utafutaji wako, ila unaweza kutengeneza uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka kazini lakini haina maana ni marafiki zako.sasa unatafutaje pesa bila kuwa na involvement na marafiki mkuu..au pesa unatafutiaga angani ww mkuu.jamaa yuko very right na mada yake
me nafanya biashara na marafiki zangu niwafanya biashara wenzangu kwaio hakunaga biashara bila rafiki pale ambapo huwa nashindwa kuuza kazi zangu lazima nitengeneze urafik kwanza maana huyo ninae target tyr anamarafik zake nawanamapa bidhaa kwaio hawez kuwaangusha ili mm nimpatae lazima niwe rafik yake ndo system yangu ya hela zangu na kaz zangu, mara nyingi sana nashindwa kupenya kwa wale finance giant kwakuwa tyr wana marafiki hivo inanipaga ugumu sanaUsichanganye 'marafiki' na 'wafanyakazi wenzio' au 'wafanyabiashara wenzio' rafiki si lazima ahusike ktk utafutaji wako, ila unaweza kutengeneza uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka kazini lakini haina maana ni marafiki zako.
Mbona kama nimewamaliza sasa [emoji16]
me nafanya biashara na marafiki zangu niwafanya biashara wenzangu kwaio hakunaga biashara bila rafiki pale ambapo huwa nashindwa kuuza kazi zangu lazima nitengeneze urafik kwanza maana huyo ninae target tyr anamarafik zake nawanamapa bidhaa kwaio hawez kuwaangusha ili mm nimpatae lazima niwe rafik yake ndo system yangu ya hela zangu na kaz zangu, mara nyingi sana nashindwa kupenya kwa wale finance giant kwakuwa tyr wana marafiki hivo inanipaga ugumu sana
Mambo mengine ukiyafatilia unaweza kujikuta uko peke yako,tujifunze kuishi na kila mtu kutokana na mazingiraPunguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao umeongea nao kitu mkiwa wawili mwisho wa siku unakikuta kimeenea sehemu nyingine. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa wamekosea. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao wakija kwako wao urafiki unahamia kwa mumeo au mkeo aliyekaa sebuleni wakati wewe kakuacha nje. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao wanakuwa na urafiki na maadui zako kwa ukaribu zaidi. Punguzaaaa!
Punguza marafiki wa kwenye raha tu ukiwa na shida unajikuta peke yako. Punguzaaaa!
Punguza marafiki wanaokusifu huku wakijua umekosea. Punguzaaaa!
Punguza marafiki ambao kila ukiwapigia simu na wao utawasikia yaani nilitaka kukupigia sasa hivi. Punguzaaaa!
PUNGUZA MIZIGO ISIYOKUWA NA UMUHIMU
Sometimes ni bora uwe alone kuliko kuwa na marafiki wasio na faida...Mambo mengine ukiyafatilia unaweza kujikuta uko peke yako,tujifunze kuishi na kila mtu kutokana na mazingira
Unapokimbia peke yako unawahi kufika, unapokimbia na wenzako unaenda mbali zaidiSometimes ni bora uwe alone kuliko kuwa na marafiki wasio na faida...
Na kama wenzako wanakutawanya miguu huwezi fika mbali zaidi...Unapokimbia peke yako unawahi kufika, unapokimbia na wenzako unaenda mbali zaidi
Ha ha ha haaa sawa mkuuNa kama wenzako wanakutawanya miguu huwezi fika mbali zaidi...