Pundamilia yuko imara kuliko nyumbu

Hata nyumbu huwa anajeruhi Simba ila ni kweli pundamilia anajeruhi Simba mara nyingi zaidi kuliko nyumbu. Nyumbu analinganishwa na wananchi wa nchi moja huku afrika mashariki
 
Yes inatokea Zebra akamjeruhi Simba. Lakini ni nadra tu. Unajua Simba ni jasiri mno. Ananguvu na ni mwindaji mbobezi. Wakiwa kundi/familia ya Simba 20 pengine wataweza kumwangusha hata Twiga.

Kitu kingine, Simba wanapowinda huchagua windo dhaifu, labda Zebra aliyejeruhiwa au mwenye tatizo lolote, hii ndio target yao. Hatahivyo inatokea Simba wakafanya makosa na mwisho wake ndio hivyo kuumizwa vibaya. But all in all Simba ni brave sana, anapoweful jaws kuua ni mara moja.
 
Kinachowasaidia Simba ni kuwinda kwa makundi vinginevyo wanachapwa.
 
Yes inatokea Zebra akamjeruhi Simba. Lakini ni nadra tu. Unajua Simba ni jasiri mno. Ananguvu na ni mwindaji mbobezi. Wakiwa kundi/familia ya Simba 20 pengine wataweza kumwangusha hata Twiga.

Kitu kingine, Simba wanapowinda huchagua windo dhaifu, labda Zebra aliyejeruhiwa au mwenye tatizo lolote, hii ndio target yao. Hatahivyo inatokea Simba wakafanya makosa na mwisho wake ndio hivyo kuumizwa vibaya. But all in all Simba ni brave sana, anapoweful jaws kuua ni mara moja.
Kinachowasaidia Simba ni kuwinda kwa makundi, akiwa mmoja huwa wanapewa kibano.
 
Hata nyumbu huwa anajeruhi Simba ila ni kweli pundamilia anajeruhi Simba mara nyingi zaidi kuliko nyumbu. Nyumbu analinganishwa na wananchi wa nchi moja huku afrika mashariki
Kuwa wazi mkuu, si useme tu kuwa nyumbu wanafananishwa na wafuasi wa Chadema!
 
Kama umeangalia vizur kuna mmoja kafungwa kitu shingoni alafu wanasikika watu wakiongea ina maana wanamfatilia kwa ukaribu ili akidhurika wampe huduma ya kwanza haraka.

Kufungwa kile kifaa haimaanishi ndio wa kufugwa, ila km wana shida nao waga wanachoma sindano ya usingizi kwa kutumia bunduki ya masafa marefu then ndo mnyama anafungwa camera au any device ambayo wao wanahitaji kuitumia, hapo ukute walikuwa wanafanya tafiti baada ya kukuta either simba amekufa au amejuruhiwa vibaya kwenye maeneo ya zebra hivo wakaamua kuthibisha km ni kweli zebra ndo kafanya hayo, ndomana umeona video nyingi tofauti tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom