M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 914 Jun 18, 2011 #1 Jamaa kutoka Kagera alienda majuu akapiga picha na punda akaituma nyumbani, akaandika chini ya picha "mimi ndie nipo upande wa kulia"
Jamaa kutoka Kagera alienda majuu akapiga picha na punda akaituma nyumbani, akaandika chini ya picha "mimi ndie nipo upande wa kulia"
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,324 Reaction score 2,901 Jun 18, 2011 #2 Haifahamiki. Haichekeshi. Ovyooooooo.