Punda mjinga

Punda mjinga

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Sisimizi wawili walikutana na punda wakamwambia tupigane mieleka, punda akawajibu: hivi mnaona mimi mjinga sana, nyinyi wawili mimi mmoja si mtanichangia, kama mnataka tupigane mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom