Pumziko la mzee wa mikasi

Rangi ya mikono tofauti na uso kwa kujikoroga. Huu uzungu wengi wanahamu nao nilifikiri kwa kuiga sauti tu vijana kumbe hata kwa kuiga rangi pia.

kwi kwi kwi teh teh teh


uzungu wa dukani huooo...
 
wajinga sana nyie! yaani nilikuwa nisha sahau shughuli za kila siku za mzee. baada ya kusoma comments kadhaa, nimecheka mwenyewe wkt niko alone chumbani.

ha ha ha jf buana!
 
sasa huyo ni bimkubwa au mdogo, manake siku ile ya muungano uhuru alitinga na wote wawili na waliingia kwa zamu....sasa anaingia bimkubwa...sasa anafuatia bimdogo...naona wote walikaba penati kwamba na mimi lazima nijulikane na nitokelezee uhuru kwenye sherehe. mashangingi ya wake wawili, wastage of resources kwa mitara hii.
 
Huyo mheshimiwa anayekabidhi fomu kwa jamaa ilitakiwa azifunge fomu kwa kuzungushia kautepe flani hivi ili akishamkabidhi jamaa azipokee na kuzifungua kwa kuzikata kwa mkasi ingenoga kweli kweli......
Ila bi mkubwa naye si haba Mashalah ni neema za Allah hizo.......
cc. Sheikh Kipozeo
 


only in Tanzania...
 


hahaha umeua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…