Pumzika kwa Amani Mpambanaji!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Wakuu,
Jirani zetu Kenya wamepoteza daktari wa kwanza aliefariki kwa ugonjwa wa Covid 19

Dr.Doreen Adisa Lugaliki alikuwa akihudumu katika hospitali ya Nairobi South kama daktari wa Magonjwa ya wanawake kabla ya kukumbwa na mauti Siku ya ijumaa tarehe 10/07/2020.

Mungu ampe pumziko la amani.



 
Apumzike kwa Amani Dr. Doreen Adisa lugaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…