kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
kama uliwaona peleka taarifa polisi wakamatwe!
una uhakika waliomkatakata ni sisi Emu? kwenye vitu serious kama hiv ebu tujitaid kuifadhi jazba zetu pembeni,, ni kweli inauma sana lakini .......... R.I.Pamefariki leo. Kifo chake kimetokana na kukatwa katwa kwa kutumia mapanga na hii MIPANYA ya sisi Emu wakati akitoka kwenye kampein za udiwani