Pumzika kamanda Mawazo

Pumzika kamanda Mawazo

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,727
Reaction score
19,465
ulikua mpambanaji na umetuacha bado tukiwa tunahitaji mchango wako katika vita hii ya kuleta mabadiliko na maendeleo yenye maslahi kwa taifa letu

R.I.P kamanda

malipo ni duniani mbinguni ni mahesabu watalipwa waliodiliki kuondoa uhai wako 1447520427173.jpg 1447520445185.jpg 1447520466559.jpg
 
Mkuu amefariki lini na nini kimemsibu

amefariki leo. Kifo chake kimetokana na kukatwa katwa kwa kutumia mapanga na hii MIPANYA ya sisi Emu wakati akitoka kwenye kampein za udiwani
 
Serekali ikifumbia macho ukatili kama huu kwa ushabiki wa vyama na itikadi
Yapo majuto mbeleni na hayatoangalia chama wala dini
Wahusika wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake
Pia haki itendeke na ionekane imetendeka
 
kiukweli inaumiza sn, pumzika kw aman kamanda Alphonce
 
Serekali ikifumbia macho ukatili kama huu kwa ushabiki wa vyama na itikadi
Yapo majuto mbeleni na hayatoangalia chama wala dini
Wahusika wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake
Pia haki itendeke na ionekane imetendeka

sio jambo la ajabu kusikia kua wahusika hawajapatikana na hatakama wakipatikana utaona zile kesi za KIPIMBI zinazoendeshwa miaka 3 bila ya kutolewa hukumu

ipo siku uvumilivu utatushinda
 
Hivi wahusika washakamatwa? Kama bado kamanda wa polisi yupo hatua ? Serikali yangu sikivu naomba hili suala la kuuwawa kwa kiongozi wa chadema lishughulikiwe ipasavyo kuepuka double standard. R.I.P Mawazo
 
Kama Watanzania tunaendelea na siasa hizi za ubabe zinazolelewa na dola huenda miaka ijayo tukawa kama Burundi. God forbid!
Vv
 
Hapa mtaani katoro watu wanasema hilo zoezi limeratibibiwa na mbuge lolensia bukwimba na mwenyekiti wa ccm mkoa wa geita bwana musukuma KWA KUSHIRIKIANA NA MGOMBEA WA CCM WA UDIWANI WA KATA YA KATORO .NASIKIA WAUAJI WALITANGULIZIWA MILLION 20 ILA BAADA YA KAZI WATAMALIZIA MILLIONI 20. HAYA MANENO HAPA KATORO NA NYARUGUSU NA HATA GEITA WANASEMA VITU VINAVYOFANANA. POLISI NADHANI WAACHE USHABIKI WA KICHAMA ILI WAFANYE KAZI KWA WEREDI ILI KUTOLEA MAMBO YA OVYO KAMA HAYA
 
siipendi cdm ila kwa siasa za kijinga hadi unapoteza uhai wa mwenzio hizi sio siasa nzuri kwapamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu kukemea na kuacha kutumika na wanasiasa wanaopenda kutoana roho.

wakamatwe nao wahukumiwe
 
siipendi cdm ila kwa siasa za kijinga hadi unapoteza uhai wa mwenzio hizi sio siasa nzuri kwapamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu kukemea na kuacha kutumika na wanasiasa wanaopenda kutoana roho.

wakamatwe nao wahukumiwe

sijakuelewa mkuu unamaanisha kua CDM ndo wamesababisha au?

hebu funguka vizuri
 
FB_IMG_1510807717014.jpg

FB_IMG_1510807724307.jpg

Ipo siku yetu tu.Huyu aliuwawa mchana kweupe lakini wauaji hawajawahi kupatikana
 
Back
Top Bottom