Pumnzika kwa Amani Mtikila

kanyela mumo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,034
2,115
Mtikila pekee ndio alikuwa mpinzani wa kweli, na nahisi awamu hii angekuwepo tungeona thamani yake kuliko awamu zote.

Nimemkumbuka sana, na sijui ni kwanini nimemkumbuka huyu comrade Mtikila..!

Pumnzika kwa Amani baba.
 
Back
Top Bottom