Unauza au unanunua?
Nenda arusha mkuu zipo bado,,pumba ya mahindi,wheat feed e.t.c
nanunua mkuu
Uko Wapi?
Mimi siuzi ila najua songea zipo.sema ulipo mie nitakufuata usiogope
Mimi siuzi ila najua songea zipo.
Debe la pumba za nahindi ni 1500
popote tanzania ,,mwenye izo pumba anichek 0685733122
Mkuu pumba ya mpunga laini nenda ifakara yani utasombelea mitani kibao
Mkuu pumba ya mpunga laini nenda ifakara yani utasombelea mitani kibao
Samahani, hiyo Avatar ni picha yako halisi?Hivi zinafaa kwa matumizi ya binadamu?
Zile laini niliona watoto wanabwia wakiwa machine, niliogopa nikidhani wangepaliwa
Picha ya mkewe hyoSamahani, hiyo Avatar ni picha yako halisi?