Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,899
- 3,766
FAIDA YA PULI KUBWA NI HIZI TU***(
1.kuepuka magonjwa yote ya zinaa
2.Kuepuka tezi dume iliyozidi kupita kias kwa sababu gololi zitakuwa zinaacha nafasi ya kutosha
3.Kupunguza gharama za ajabu ajabu sijui za baba mkwe, mama mkwe, mashemeji na
4.Kupunguza migongano ya wanandoa au familia nyumbani au kazini
5.Kupunguza vifo vinavyotokana na kisukari au presha kwa ajili ya mwandani wake
6. Kuepuka kutapeliwa na wapenzi walagayi
7. Kuwa mtu asiyekuwa na mipaka ya kufanya jambo mpaka kumshirikisha mwendani mwizi
8.KUWA TAJIRI
N.B HAKIKISHA UNAWATOTO HATA WANNE AU WATATU KWA AJILI YA SIKU ILE YA UZEENI MUNGU AKIKUJALIA WATAKUPELEKA HOSPTALI