Kumbe Fujo
Member
- Mar 8, 2017
- 9
- 2
Habari zenu Waungwana,bila kutegemea nilikuta simu yangu aina ya Samsung galaxy Grande Prime imefungika,kuna maandishi madogo yanasema "Your PIN has been blocked,enter PUK to continue".hiyo card yenyewe iliyo na nambari za pin na puk imenipotea kutoka zamani,
Pls naomba msaada wenu wenye ujuzi katika mambo kama haya.
Asante
Pls naomba msaada wenu wenye ujuzi katika mambo kama haya.
Asante