Puerto Rico: Zaidi ya 4,600 watajwa kufariki kwa kimbunga 2017

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,598
215,322
Mtazania mwenzenu ambae pia ni mwana JF GENTAMYCINE anaishi huko. Kama kuna mwenye mawasiliano nae jamani.

Habari kutoka The New England Journal of Medicine zinakadiria waliokufa kwa Hurricane Maria mwaka 2017 nchini Puerto Rico kuwa si chini ya 4,645 mwaka. Idadi hii ni mara 70 ya idadi iliyotolewa awali na serikali ya Pueto Rico

Mentor
 
Ingawa hao researchers nao sijui tuwaeleweje. Margin of error ni kubwa mno.

Wanasema idadi ya waliofariki inaweza kuwa kati ya 793 na 8,498.

So, ni kweli serikali ya Puerto Rico ilidanganya ingawa hata hawa waliotoa ripoti yao nao hawana figure ya uhakika
 
Side note: kweli wabongo tuko vizuri. Yaani wa Puerto rico wenyewe wanapakimbia kwao ila kuna wabongo wanaishi huko??!
Hiyo ni kawaida kwenye maisha,wapo pia waliopakimbia USA na wanaishi nchi zingine! Wapo waliopakimbia Germany au UK na wanaishi/wanafanya kazi nchi zingine! Huo ni mzunguko wa kawaida tu katika maisha.
 
Waliopakimbia?

Hebu nitajie mtu aliyekimbia Marekani..au Sweden..au Ujerumani.

Mimi nimesikia waliokimbia from North Korea na Africa na hizo waziitazo Middle East.
 
Waliopakimbia?

Hebu nitajie mtu aliyekimbia Marekani..au Sweden..au Ujerumani.

Mimi nimesikia waliokimbia from North Korea na Africa na hizo waziitazo Middle East.
Mkabala yule Mwingereza aliyeomba uraia was Tanzania
 
Mtazania mwenzenu ambae pia ni mwana JF GENTAMYCINE anaishi huko. Kama kuna mwenye mawasiliano nae jamani.

Habari kutoka The New England Journal of Medicine zinakadiria waliokufa kwa Hurricane Maria nchini Puerto Rico kuwa si chini ya 4,645 mwaka 2017. Usafi hii ni mara 70 ya idadi iliyotolewa awali na serikali ya Pueto Rico

Mentor
DOKTA WANGU Wape pole wafiwa
 
Waliopakimbia?

Hebu nitajie mtu aliyekimbia Marekani..au Sweden..au Ujerumani.

Mimi nimesikia waliokimbia from North Korea na Africa na hizo waziitazo Middle East.
Kama wewe unasikia tu basi mimi najionea kabisa katika mizunguko yangu,ukitembea utajionea,kama ni suala la mtu kukimbia nchi yake ili kutafuta maslahi ya kimaisha hili lipo nchi nyingi tu,nenda nchi za Gulf kama Qatar,Saudia,Kuwait,Oman ukaone wazungu wamekimbia nchi zao wamefuata maslahi!

Usifikiri kua kila mtu aliyepo USA basi ana maisha mazuri,usikariri kua kila aliyepo Sweden au Germany basi ana maisha mazuri! Hata wazungu nao huhama nchi zao kutafuta maslahi.
 
Mtazania mwenzenu ambae pia ni mwana JF GENTAMYCINE anaishi huko. Kama kuna mwenye mawasiliano nae jamani.

Habari kutoka The New England Journal of Medicine zinakadiria waliokufa kwa Hurricane Maria mwaka 2017 nchini Puerto Rico kuwa si chini ya 4,645 mwaka. Idadi hii ni mara 70 ya idadi iliyotolewa awali na serikali ya Pueto Rico

Mentor
GENTAMYCINE si anaishi Gisenyi?
 
Alisema kwa sasa yuko masomoni nchini Puerto Rico
Hivi mpaka sasa unamumini huyu jamaa?
Ukiona mtu kila kitu yeye anakijua hakubali kukosolewa ujue ni shida..
Huyu jamaa akisema mambo 9 basi ujue matatu ni ya kweli lakn yaliobaki ni chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom