Nahitahi software inayoweza kufanya kazi zote za publishing kama ifuatavto:-
1:kufanya editing ya picha na michoro mingine
2:Book cover designing
3:Book typesetting and arrangement before publishing.
4:Kazi nyingine zinazofanana na hizi
Mwenye software hizo aweke namba zake za sm hapa.