Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
Kwanza c ushaambiwa n America!! Povu linakutokea nn? [emoji45] [emoji45]Kaka mmoja hapa JF akaniita mshamba kwa kumpa picha za Nairobi!! Sasa ushamba utazidi huu wa mtu kuita vitu kama hivi America? Ushamba ulioje? Angalia ndani ya hili basi, ni basi nzuri najua, lakini angalia walio kaa ndani!!! Duu!! Yaani hivi kukaa miguu ikiwa imetiwa upande wa median ni nini?? Ushamba? Ama Basi hili limeundwa bila kuzingatia starehe za msafiri kwamba viti vimefungwa pamoja hadi huwezi kaa vizuri? Angalia huyo kaka wa malapa (jampali au slippers) Yaani unashangaa basi nzuri na unakaa kama uliyepanda tuktuk! Haya mabasi kweli hayana starehe ukiona hawa ndugu walivyoketi hapa!! Nairobi Mabasi ni starehe ya kweli ukitalala, ukitaka oga, ukitaka itisha!!! Kwa raha zako!!
Inside Modern coast
Kwanza c ushaambiwa n America!! Povu linakutokea nn? [emoji45] [emoji45]
Then hyo ni bus ndani city (commuter) halafu ulivyo PUNGUANI wa Akili unafnanisha Commuter na basi za masafa marefu [emoji45] [emoji45] ,Haijalishi unatuwekea ma celebrity kna Saut Soul!! Ulitegemea wakae pose za ovyo [emoji45] [emoji45]
However Kukaa n uamuz wa mtu na huwez jua lbd alkuwa anajiandaa kushuka [emoji45] [emoji45]
WateKENYWA limbukeni sana cjapata kuona!!
Naivasha road
Haha, this is funny. [emoji23][emoji23][emoji23] MK254Mkuu hizo commuter zilimfanya MK254 kupitikiza vituo hadi kujikuta anashuka kivukoni.
Hata siku moja huwa hazipondei, japo hajawahi kusifia maana always nyang'au is snitch.
mapoyoyo wa kariobangi wasiozijua ndio wanaziponda humu .
I truly believe Nairobian don't travel in luxury couches, halafu wapi in the world (America, France Japan, south Africa) commute within the city in soft padded chair on the daily basis? Kama ni luxury couches hata Tanzania zipo.Kaka mmoja hapa JF akaniita mshamba kwa kumpa picha za Nairobi!! Sasa ushamba utazidi huu wa mtu kuita vitu kama hivi America? Ushamba ulioje? Angalia ndani ya hili basi, ni basi nzuri najua, lakini angalia walio kaa ndani!!! Duu!! Yaani hivi kukaa miguu ikiwa imetiwa upande wa median ni nini?? Ushamba? Ama Basi hili limeundwa bila kuzingatia starehe za msafiri kwamba viti vimefungwa pamoja hadi huwezi kaa vizuri? Angalia huyo kaka wa malapa (jampali au slippers) Yaani unashangaa basi nzuri na unakaa kama uliyepanda tuktuk! Haya mabasi kweli hayana starehe ukiona hawa ndugu walivyoketi hapa!! Nairobi Mabasi ni starehe ya kweli ukitalala, ukitaka oga, ukitaka itisha!!! Kwa raha zako!!
Inside Modern coast
Waiyaki way Nairobi
The Beautiful Nairobi city Roads
Bado tupo 1961
BRT!!!! We said here that Nairobi BRT iko jiani yaja, basi ndiyo hayo mamba yashaanza kuroll style hii
I can't wait to see that, maana humu kuna watu they will go places where no normal human being will dare to go.You guys will compare even things that do not make sense
This is Public Transport!?? [emoji39] [emoji39] [emoji39]Aiii... Wanjala... where is this road??
Southern bypass just near Kabete!Aiii... Wanjala... where is this road??