Sawa leta basi hizo references ili tuone nataka tuweke references kwa faida ya wasafiri.Nairobi hawana BRT lakini mfumo wao wa public transport umekaa vizuri sana. Kwanza kama sikosei mabasi yote yanasimamiwa na kampuni au shirika, pili kuna nidhamu kwa abiria, hakuna kusimama na vilevile hakuna kugombania kuingia kwenye basi, abiria wanapanga mstari kistaarabu bila shuruti. Kwa kifupi niliupenda ule utaratibu.
Licha ya kwamba Dar es Salaam tumeleta BRT, kwa mwendo tunaoenda nao na kama huduma itaendelea kua ya kiwango hicho, mradi hautakua na tija na mwisho utakufa kabisa.
Hayo ndio mapovu tunayoyataka. Endelea kutoa povu unaruhusiwa.Yes hata mimi napenda Nairobi utaratibu wao wa kwenye matatu zao, hakuna kusimama, kupanda kwa foleni, Ila hapa kwetu hiyo BRT nzuri kwenye picha au kama hujapanda, huu kwa dar ni moja ya usafiri wa hovyo ambao haujawahi kutokea,
Kumbe umeleta uzi ukiwa na ushindi mfukoni? Haya mshindi wewe, kama DART Ndio usafiri wangu wa Kila siku kwenda kaziniHayo ndio mapovu tunayoyataka. Endelea kutoa povu unaruhusiwa.
Thank you!!!Nairobi hawana BRT lakini mfumo wao wa public transport umekaa vizuri sana. Kwanza kama sikosei mabasi yote yanasimamiwa na kampuni au shirika, pili kuna nidhamu kwa abiria, hakuna kusimama na vilevile hakuna kugombania kuingia kwenye basi, abiria wanapanga mstari kistaarabu bila shuruti. Kwa kifupi niliupenda ule utaratibu.
Licha ya kwamba Dar es Salaam tumeleta BRT, kwa mwendo tunaoenda nao na kama huduma itaendelea kua ya kiwango hicho, mradi hautakua na tija na mwisho utakufa kabisa.
Thank you!! [emoji41][emoji41]Yes hata mimi napenda Nairobi utaratibu wao wa kwenye matatu zao, hakuna kusimama, kupanda kwa foleni, Ila hapa kwetu hiyo BRT nzuri kwenye picha au kama hujapanda, huu kwa dar ni moja ya usafiri wa hovyo ambao haujawahi kutokea,
Leta References. Hapa hatusindani. Tunataka watu wanaosafiri wakifika maeneo husika wajue cha kufanya. Au huelewi?Kumbe umeleta uzi ukiwa na ushindi mfukoni? Haya mshindi wewe, kama DART Ndio usafiri wangu wa Kila siku kwenda kazini
Thank you!! [emoji7][emoji7][emoji7]Nairobi Public Transport iko poa sana..siku za kazi hata unaona bora uache tu gari home..unachukua matatu, asubuhi unaangalia episode yako ya game ot thrones taratibu na nescafe ndani ya matatu..
Kapande gari za mbagala, makongo juu, tegeta , bunju, mbezi na gongo la mboto ndio utajua usafir wa dar ni bora au laah!!!!..... Huitaji kufika nairobi ndio ujue usafiri wa dar ni wa kijinga na ovyo ....