Public Opinion: Consolidating the Movement For Change, BAVICHA ifanye nini? Toa maoni yako

matawi ya bavicha vyuo vikuu waandae ziara za vijijini kuwatumia wanavyuo wa kutoka vijiji hivyo. Hii itawasaidia saaana. Mikutano iwe ya kuhamasisha, vijijini wanathamini saaana wasomi
 
Asante sana Nyakageni.

Ni pointi muhimu sana
 
Back
Top Bottom