Public Opinion: Consolidating the Movement For Change, BAVICHA ifanye nini? Toa maoni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Public Opinion: Consolidating the Movement For Change, BAVICHA ifanye nini? Toa maoni yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, May 28, 2012.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  ban_bavicha.jpg
  [FONT=&amp]  Wana-JF
  [/FONT]
  [FONT=&amp]The Youth's council (Baraza la Vijana) serves as abridge linking CHADEMA and Tanzanian youth, and it remains an importantsocial-political pillar for the movement (M4C). The world is watching closelyto see how if these movements can consolidate an agenda of the many different young people we represent, and how this platform may be incorporated into the future policies and institutions
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Leo ni mwaka mmoja tangu uchaguzi wa baraza la vijana chadema ufanyike tarehe 28/05/2011.Naandika nikitambua kuwa JF siyo jukwaa la chadema lakini ni jukwaa la wapenda mabadiliko,wanamageuzi na pengine wanamapinduzi.Miongoni mwa wanachama wa JF wapo wanachama wa vyama vya siasa na wasio wafuasi wa vyama vya siasa.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Nitangaze maslahi! Mimi ni mwanachama wa chadema.Ni mwanachama wa baraza la vijana.Baraza nililoonyesha nia ya kuliongoza(nia yangu hii ipo hai). Kwa kuwa falsafa yachama changu ni ‘nguvu ya umma' Naomba sasa nitumie fursa hii kupata Public opinions(maoni/mawazo)kutoka kwenu juu ya ni kitu gani hasa unachoona kinatakiwa kifanyike na barazala vijana chadema ili kukisaidia chama zaidi katika kuimarisha vuguvugu la mabadiliko.Naamini kupitia uzi huu(thread)nitaweza kufikisha maoni ya wanamageuzi ambao hawana njia ya kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa uongozi wa baraza la vijana.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Ofcourse we all agree that, Tanzanian youth mustunswervingly follow the leadership, carry forward patriotism, walk in theforefront of the times and take an active part in the social-political movementof the Tanzanian people.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Maoni na mchango utakaotolewa nitauandika pamoja na ushauri wangu kwa uongozi wa baraza la vijana(BAVICHA)ili tuangalie namna bora kabisa ya kuboresha baraza hili. Young people are in the process of building, but for that very reason they are the incomplete. They are unknown quantities fraught with limitless possibilities. Young people bring with them the winds of change and reform, and they are the possessors of an enormous and irrepressible vitality.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Hakuna asiyejua umuhimu wa vijana katika mabadiliko yoyote ya kijamii nakisiasa.Vuguvugu la mapinduzi lilotokea nchi za kiarabu kwa kiasi kikubwalilichochewa na vijana.Hali ya vijana Tanzania haina tofauti na vijana waTunisia,Misri na Syria.Haina tofauti na vijana wenye asili ya kiafrika enzi zaubaguzi wa Rangi kule Afrika Kusini
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Zaidi ya Asilimia 70 ya watanzania ni vijana.Vijanawana nafasi kubwa ya kuchochea mabadiliko kwa haraka zaidi.BAVICHA ni kama Mhimili wa CHADEMA katika mabadiliko haya hasa katika kampeni hii ya vuguvugula mabadiliko(M4C) katika kuunganisha vijana hawa wasio na ajira,wenye ajira katika mazingira magumu,wafanyabiashara ndogondogo,wanafunzi wa Elimu ya juu na hata wale wa shule za katika pamoja na wahanga wakuu wa mfumo wa sera mbovu ya shule za kata waliozagaa mitaani.BAVICHA ndiyo chombo pekee cha kuwasemea na kuwaunganisha vijana hawa katika kuharakasha mabadiliko
  [/FONT]
  There is little that can equal the greatness of youth .We must realize that every young person that lives is to some extent fired by the youthful passions coursing through his veins. If only firm direction and purpose can be given to these passions, then there is absolutely no doubt that the young can learn to contribute to the transitional movement and live lives that are meaningful. ban_bavicha.jpg [MENTION][MENTION][MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION]
   
 2. W

  WFM Senior Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
   
 4. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,660
  Likes Received: 17,667
  Trophy Points: 280
  Daaah kamanda Ben,umepotea sana kamanda wangu wa nguvu,ila last time nilishituka sana ulipomtetea kindakindaki Makam M/kiti Shoza ilhali ni dhahii kuwa alichafua hali ya hewa.......ucjali mkuu
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mkuu! Plz naomba turudi hapo juu kwenye objective ya majadala ambao kijana mwenzetu Ben katoa ili tuweze kuihimarisha BAVICHA yetu sasa hizo chokochoko hebu tuache jamani !
   
 6. W

  WFM Senior Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Mkuu Ben!
  Kwanza hongera kwa ku declare interest kwamba bado una nia ya kuongoza Bavicha, binafsi nakupongeza na ninaamini unastahili na unaweza.
  Ili kuchangia M4C na mabadiliko tunayoyataka wengi wetu BAVICHA ni lazima mkubali kuunganisha nguvu na kuvunja vikambi vyenu mlivyounda wakati wa uchaguzi. Ukiondoa wewe Ben Saanane wenzio wengi bado wanaonyesha element za makundi makundi ndani ya Baraza. Hamuwezi kufika na mtawarudisha sana nyuma Watanzania.
  Labda naweza kuonekana napiga majungu lakini ukweli ni kwamba bila kuunganisha nguvu na kukubaliana kwamba adui yetu ni umaskini na uduni wa Maisha ya Watz yaliyosababishwa na CCM kwa miaka 50 BAVICHA itapoteza uhalali wake. Haitakuwa toafuti na UVCCM ya kina Shigela na Benno Malisa... Naomba Bavicha mshiriki kufanya yafuatayo;
  1. Mshiriki kuwaamsha Watanzania na kuwaelimisha Wananchi kuhusu Katiba mpya. Ningependa Bavicha mtengeneze timu yaani task force itakayoshughulikia suala hili la katiba kwa kuzunguka nchi nzima kuwahamissha vijana wenzenu kushiriki kutoa maoni na baadaye kwenye kura ya maoni kuhusu katiba mpya.
  2. Bavicha mntatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Katika hili nashauri muwatumie vijana wa Vyuo Vikuu mbali mbali na kuwatuma huko na huko nchi nzima kuwaamsha vijana ili itakapofika muda wa kura za maoni vijana wawe na sauti kuhusu katiba mpya.
  3. Bavicha ishiriki kufungua matawi ya CDM kote nchini hasa maeneo ya vijijini kama sehemu ya M4C.
  4. Bavicha ijipange kupambana na vitendo vyote vya hujuma vinavyoelekezwa kwa CDM ikiwemo toka kwa serikali na CCM. Sio afya njema kwa Mzee kama Ndesamburo, Dr Slaa na Mzee Arfi kuwa mstari wa mbele wakti vijana tupo mitaani tu.

  Mengine nitaongeza kadri mjadala unavyoendelea, vinginevyo Big up Ben kwa uthubutu wako wa kutaka kuijenga Bavicha
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Gerrad,

  Asante sana mkuu.Ni kweli kwenye suala la katiba bado hatujaonyesha kuwa mstari wa mbele katika hili.Mabaraza yote na jumuiya zote za vijana kutoka kwenye vyama vya siasa hawajafanya hivyo.Hii ni hatari.Hata baadhi ya NGO's ambazo zinapigania interest za vijana hazijafanya zaidi ya kuwaachia wanaharakati wa jinsia kama TGNP(madame Usu Malya) na TAMWA(Madame Ananilea Nkya hajawaangusha akina mama) na KIWOHEDE(madame Mwituka).

  Ni kweli bila kuvunja makundi na kufanya engagement hatuwezi ku-achieve chochote.Kazio iliyoko mbele yetu si rahisi.Tujenge baraza.Tuwe na formidable force itakayotoa msukumo wa vijana Tanzania kupigania mabaduiliko na kuandaa mazingira mazuri ya kisera hapo baadae.Nina uhakika asilimia 99 tukiendelea kujipanga vizuri hakuna wa kuizuia CHADEMA kuingia ikulu mwaka 2015.Asilimia 80 za uhakika huu zinategemea uamsho na ushiriki kamilifu (full participation/active) wa vijana katika harakati hizi

  Ofcourse nakubaliaana na wewe hapo kuhusu kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.Ni muhimu kuanzisha programme maalumu ya kujiandikiasha.Chama cha patriotic front cha Zambia wakati huo wakiwa upinzani walifanya hivyo.Walibuni programme nzito.Walipiga kampeni kwa kutenga fungu maalumu kuhamasisha vijana kujiandikisha na kuunda special network professionally.Sitaweza kuitoa hapa kwa sasa ili tusiwanufaishe wapinzani wetu kisiasa CCM.Chama changu nitakishirikisha na kama CCM wanaitaka waitafute wenyewe huko Zambia kama wanaweza

  Pia kuna programme maalum ambayo chama cha ODM kimeiandaa kuhakisha kinapata kura za vijana ambao ni zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura nchini Kenya kama ilivyo Tanzania.(Programme hii pia nitaipeleka kwa chama changu)

  Ni kweli kwamba inabidi sasa vijana tuwe mstari wa mbele kupambana na hujuma za chama cha mapinduzi kuliko kuwaachia wazee. Umuhimu wa kuimarisha Red Brigade uko pale pale.Katika mapendekezo yangu kwa uongozi nitapendekleza pia ni nanmana gani tuifanyie reform red Brigade.Hatuwezi kuvumilia hujuma huku vyombo vya dola vikishuhudia.Ni lazima tujilinde kikamilifu.Hatuvai kombati kwa ajili ya kutoa matamko,tutaitendea haki kombati kifikra na kwa tafsiri yoyote iliyo njema kiuanamapinduzi.......................

  We should champion the cause and course of the Tanzanian youth and for the political emancipation of the Tanzanian youths through active participation and involvement in politics.

  BAVICHA is a youth movement designed tochallenge and influence every young Tanzanian to become a part of the solution to the challenges faced by Tanzania through their engagement in their communities. Whilst we know how overwhelming the challenges of nation building in Tanzania is and are aware of how our leaders have failed to meet our expectation in the past, our focus is to look inwards to develop quality leaders amongst young Tanzanians. This we hope to achieve by challenging the youths to do what they can today to make a difference in the lives of the people around them.

  Through this process of flexing their leadership muscles, we believe that we will be able to nurture a generation that will not continue in the mistakes of the past but will take ownership of the success of the future through active participation in making Tanzania work, one community at a time.
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huu ni ushauri wa in-general na sio specific to the current M4C. Lakini pia huko unaweza kutumika.
  1. Make sure website ya chama chenu ipo up-to-date!
  2. Kuwa active katika kutoa machapisho au vijarida.
  Mwanakijiji (mtu binafsi) anaweza hili, iwaje nyie (a political organisation) mshindwe?
  3. Kufanya activities zaidi ya siasa kwa kusudi la kukutana na vijana wengi zaidi. Kwa mfano ku-sponsor a football competition.
  Make a point of meeting the youths and not for them to attend your meetings.
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Chapakazi,

  Thanks alot .well noted comrade.....
   
 11. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Wana Chadema mje hapa mtoe maoni. Ni wakati sasa wa kuacha tu kushabikia picha za umati wa watu wanaojitokeza kwenye mikutano huku sisi tukibaki kwenye laptop zetu kushabikia. Tunashindwa hata kushauri nini kifanywe na Bavicha?
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Gerrad,

  Ni kweli wengi wanapenda kushabikia matokeo mazuri huku wakilaumu.Hii kasumba ni mbaya na haionyeshi dalili njema katika harakati hizi za mabadiliko.Let us be the agent of change
   
 13. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Kwanza waache kushiriki siasa zaz kitoto za kujibishana na watu wasiokuwa na akili kama kina shibuda na wengineo.
  Pili watumie fursa ya mikutano ya sasa kuchota uzoefu ili hawa wazee wakrudi bungeni wao waendelee kuzunguka kijiji kwa kijiji.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Seif Al Islam,

  Thanks alot.Ofcourse kuna watu wanastahili kuwa ignored hasa wale attention seekers.....Thanks alot kamanda!
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Bavicha iingie vyuoni na shule za sekondari.Hili litawasaidia kuandaa watu kisaikolojia na hasa vijijini
   
 16. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  BAVICHA waanze kuwajenga wenyeviti wa wilaya na mikoa, makatibu wa wilaya na mikoa ili waweze kuendesha mikutano ya hadhara kwa wananchi bila kutegemea uwepo wa viongozi wa kitaifa na wabunge; yaani kila wilaya na kila mkoa uweze kufanya mikutano yake yenyewe kila mwezi ili wanapokuja wale wakitaifa ni kukia mabonde tu.

  Pili viongozi hawa waendeshe semina za kiwilaya kwa kila kata hata kijiji kuanzia mwaka 2012/2013 hadi liamba.

  Cheers
   
 17. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  BAVICHA wachukue hoja za Ardhi na kuivalia njuga kweli kweli; hebu fikiria kiwanja milion 2-4milioni kwa bei za serikali; hii ni kwa manispaa na majiji, harafu viwanja wanagawiwa na serikali hao hao watumishi wa jiji/manispaa harafu wanauza kwa raia kwa kati ya mil 5-20, huu ni wizi au sema ulanguzi wa mali ya serikali na kuiuza kwa bei ghali kwa raia. Valieni njuga hili maana linakusa kila mtu na watu wanaadhirika kwa kukosa makazi bora kutokana na walanguzi wa viwanja. Zaidi ya yote kwa nini bei ya ardhi iwe kubwa namna hiyo kiserikali??? kiwanja kingekuwa laki 2-5 tu kwa halmshauri zote za jiji na manispaa, wilayani hata laki 1-1.5 tu.
  ARDHI HAIKUPASWA KUUZWA, ndo urithi pekee wa kuzaliwa, tumeikuta tutumie tutaiacha, nitoze pesa kidogo tu ya kugharamia upimaji wa kiwanja sio mili2 had 4, za nini??

  Pili elimu na shule binafsi ni janga la kitaifa; piganie shule zote zirudishwe kuwa mali ya serikal mashirika ya din na umma sio mtu binafsi; warudishiwe gharama zao harafu serikali isimamie shule hizo.

  Tatu, Maji kuwe na miradi midogo midogo ya maji kila kijiji kama ilivyo shule kila kijiji; inawezekana.

  Nne, Komaeni kuhusu vifaa vya ujenzi na gharama za ujenzi kupungua.
   
 18. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,872
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Colleague Ben,

  Yafuatayo yanaweza kuongeza chachu ya vuguvugu la mabadiriko
  1) Vijana wengi hawana ajira-Bavicha isiachie jukumu hili kuwa la serikali na badala yake ushauri wa khali na mali utolewe (ktk vikundi) na zaidi kuhimiza wavijna wote wawe na kazi yoyote iliyoalali ya kuwaigizia kipato (sehemu nyingi za vijijini kama huko ninakotokea vijana waweza kulima na kupanda kahawa/miti/mbongamboga-Bavicha yaweza kutoa ushauri wapi kuna masoko n.k

  2) Vijana wote above 18 yrs wahakikishe wamejiandikisha ktk kitabu cha wapiga kura

  3) Vijana wengi wa kike wawezeshwe (ktk semina mbali mbali) wajitambue how potential they are in building our nation

  4) Inavyoonesha Chama tawala kimebariki siasa vyuoni- Hivyo Bavicha nendeni huko kwa kasi sana-waeleze vijana haki zao na jinsi ya kuwa na uzalendo wa nchi yao. Uzuri wengi wameisha litabua hili, nikiasi tu cha kuwaelekeza kidogo. Vijana wako tayari kwa lolote, they just need good guidance

  All the best Bavicha and long live!
   
 19. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  You should find a way to mobilize the youths carefully
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Makamanda wote hapo juu,Salute.Asanteni sana.....

  Pia kuna wale makamanda walioni-PM nimewapata.Asanteni sana


  Mutakyamirwa,

  Tuko pamoja.Haya ni mambo mazito kweli.


  Thank you.
  It seems to me that the extent of our relevance as youths in the political process is limited within the confines of mobilizing for elections. It seems to me that we just are tools for winning elections and that that is the farthest our relevance extends in the political parties establishment.

  Ofcourse we should realize that in the nearest future, the youths would rise to fill up offices currently occupied by the fathers; and what would become of our party and the country if the nation does not put enough effort towards our education as youths? We should enphasize on youth leadership training scheme. We should seek on youth conflict management and resolution training programme.We should organize cultural awareness programme for youths which would advance the process of national integration and minimize tribal and ethnic mistrust.

  The earlier we see the party as being much more than a platform for winning elections, the better would be the prospect of the youth of the party and the party in general. With these, the CHADEMA would help advance our quest to expand our capacity for organized reasoning which would catapult us to the height which we aspire to as a party. These are very crucial for the continuous evolution of our party and so should not be seen as luxuries.

  Times are changing and with it are changes in affairs of politics and in the provision of leadership to our nation. It is only that which guarantees regular training and retraining of our young cadres that would best position us for the roles which the changing times foists on us.

  As mentioned earlier, these should not be seen as luxuries, but provisions should be made for them in the constitution. For written constitutions are a bulwark in democratic organizations and parties, and societies need them to guarantee individual liberties and protect themselves from threats of extremism. With these provisions allowed by the constitution, it shall be viewed as the duty of the party to make available these leadership skills acquisition outlets for the youth of the party.

  In this way, our party would ensure the nurturing of a genuine democracy free of corrupt electoral practices and dedicated to the basic goals of collective social justice and individual self realization. History furnishes us with several examples to buttress this point.

  Suffice it to cite only the examples of the MPLA of Angola and the ANC of South Africa. The MPLA had organizations for children and as well as for adults. There was the pioneer group, the women's group, and the group for the young MPLA cadres. Its passion was for the people. Again and again 'people's power' was honed in the periodic seminars which were organized at various places to emphasize the link of the party with the people. Other events were organized which kept the people at a fever pitch politically. The party never ceased and never tired of pointing to the people that the MPLA control of most of the country was due to the people. Records also tell us that the MPLA ranks never tired of holding regular interaction with the people of Angola and that the truth was what they always told them at every turn of events in the decolonization process of that country. Look at the ANC of South Africa; after how many decades and still not just in existence but in power.

  These are some parties we could hold as models even as we follow their time honoured practice of politically educating their young and the country people. The modus operandi and the tenets of the party should be taught us and this should be done in complete clarity. With these put in place, one can vouch that CHADEMA would go the way of historical recognition as the MPLA and ANC went.

  As I pursued in another work, the process of transformation of Tanzania has been started and this process is spearheaded by BAVICHA. Let this process reflect in the way we look at our party, CHADEMA.

  Hili ni vuguvugugu la ukombozi.Tunapambana na mkoloni mweusiMapambano ya pili ya ukombozi(secondary Liberation Struggle)
   
Loading...