Public health na kujiajiri

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
200
Habarin Wadau
Mimi naomba kuuliza kuhusu hii kozi ya public health (MPH).Je mtu anawezaje kujiajiri akisoma hii kozi?
Na vipi kuhusu soko lake la ajira kwa sasa na baadae?
Karibuni wadau kwa michango yenu. Na ushauri pia
 
MPH Tanzania??
Kimbilia NGO,Sector ya Umma Ni just another added skills,Tena hata senti tano huongezwi kwene mshahara.Kujiajiri,Yes kama Consultant,baada ya uzoefu...
 
MPH Tanzania??
Kimbilia NGO,Sector ya Umma Ni just another added skills,Tena hata senti tano huongezwi kwene mshahara.Kujiajiri,Yes kama Consultant,baada ya uzoefu...
Mkuu unamanisha serikalini hawa wataalam hawana soko kabisa? Ndio mana hawaongezwi mshahara? Na hapo kwenye kujiajiri kama consultant kwahapa bongo wateja wapo kweli?
 
MPH Tanzania??
Kimbilia NGO,Sector ya Umma Ni just another added skills,Tena hata senti tano huongezwi kwene mshahara.Kujiajiri,Yes kama Consultant,baada ya uzoefu...
Mashirika ya kimataifa Balozi na NGOs nyingi ajira zake nyingi mi mwenyewe natataka nikapige masters yake
 
Ukisoma masters ya public health ukimaliza unakuwa unafanya kazi gani hapo baadae?
 
Back
Top Bottom