social_science JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 1,104 Reaction score 1,262 Mar 31, 2017 #1 habari wakuu wale degree holder public administration enzi zile chuo tulikua tunaitwa bapa tukutane hapa na kushare ideas mbalimbali ikiwezekana pia tuanzishe group ya watsapp kukumbushana masuala mbalimbali
habari wakuu wale degree holder public administration enzi zile chuo tulikua tunaitwa bapa tukutane hapa na kushare ideas mbalimbali ikiwezekana pia tuanzishe group ya watsapp kukumbushana masuala mbalimbali
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,700 Reaction score 6,825 Mar 31, 2017 #2 Mkikumbushana then nini kinafuata?
social_science JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 1,104 Reaction score 1,262 Mar 31, 2017 Thread starter #3 kawaida tu kaka now vijana wataanza kufanya field kama kada nyinginezo elimu,afya n.k