Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Natafuta PA system(amplifier, speaker , microphone nk) kwa pamoja inaitwa PA system.
1.Tafadhali kama kuna mtu anauza iliyotumika(used), nitajie na bei yako tafadhali
2. Pia kama kuna mtu unajua kwamba zinapatikana wapi naomba nijulishe pia tafadhali, bei na mahali ninapoweza kununua
Mimi nipo Dar es Salaam