PUBG mobile

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
757
Reaction score
1,866
Wenye hili game tupeane mbinu na maujanja ya jinsi ya kutumia silaha na kuibuka mshindi wa vita katika pambano maana sasa hivi nakula sana za kichwa kwenye Ranked
 
Hahah Mimi nipo middle sio wala pro ila ukiingia anga zangu unakula za kichwa. hii ndo account yangu sema nilibadili server nilianza na upya.
 
Wenye hili game tupeane mbinu na maujanja ya jinsi ya kutumia silaha na kuibuka mshindi wa vita katika pambano maana sasa hivi nakula sana za kichwa kwenye Ranked

Sasa hv wanapanga mechi kutokana na rankings Mzee tofaut na zaman boti kibao ila sasa hiv kma upo Ace tegemea ktk wale 100 Ace Wapi 90 ni kichapo tuu
 
Haha, mimi niko katikati, sio mtaalamu, lakini ukiingia kwenye anga yangu, unakula kichwa. sio akaunti yangu inasema nilibadilisha seva niliyoanzisha na kuanza tena na pubg mobile apk mod
 
mi nacheza freefire kama kuna mtu anachezaga aweke id yake nimuadd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…