Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

udhaifu wa ulichoandika mkuu ni kana kwamba kuongea kwa ukali au kitisho sio instinct ya mwanadamu na ni kosa.
kila mwanadamu wakati flani anaweza kuonyesha hali hizo.
pia anaweza kufanya kwa makusudi ili kufikisha ujumbe flani au kwa kusudio lake.

nakosoleka ni mtazamo wangu.
 
Hatimae Mkuu Pascal Mayalla unarudi. Bado Jery Muro na Juma Mkamia.

Le Mutuz tushukuru Mungu maana yule aliruka sehemu fulani ya makuzi

unafiki huu, anarudi wapi? alikuwa wapi?

watanzania mmekuwa kama vinyani au vinyago fulani hivi

'mtu akisema kinyume na wewe ni adui au yuko upande ule' akisema sawa na wewe sio adui

una inferioty complex

hao uliowataja wote akiwemo mimi, tunasema tunachojisikia kusema na kunyoosha hisia zetu bila kujali upande wa pili wnataka nini

Leo unasema karudi, kesho akija na hoja yake nyingine utasema anatafuta ukuu wa wilaya

hamjawahi kujadili maada bali kuangalia yuko upande upi

hata hapa ni mfano mzuri haujaangalia hoja, umekimbilia kusema uliyosema! aibu!

halafu ndio wasomi nyie, ndio mameneja huko kwenye mabenki, ndio unaitwa baba au mama nyumbani, ni figure ambaye unatakiwa ku inspire others! ila ki ukweli hauna kitu kichwani

mmeondoa kabisa dhana ya debate na kujadili maada kwa akili timamu!!
 
Pascal huwa kuna vitu kadhaa vyenye maana najifunza kwenye maandiko yako, lakini katika hili inaonesha umevamia taaluma usiyoielewa na huna uwezo wa kuleta evidence za ku support au ku prove ukweli. Achana na mambo ya kuungaunga, eti utaendelea. Una haraka gani kuleta vitu vya kuokota? Give the proof, man!
 
Nakawia kuamini kama hili bandiko limeandikwa na mayala/ njaa. Haswa hii kauri"ukiona
mtu anaongea
sana kwa ukali na
vitisho ujue hana
lolote katika
utekelezaji"
 
Ndio tunayoyaona leo kwani mtu anaetenda au kutekeleza utaona mwenyewe wala hatumii nguvu nyingi kujitangaza. Ila asietenda anafanya mambo kwa kuwatisha watu ili wajue anafanya kazi. Kumbe anayo maovu mengi anayoyaficha. Ndio leo tunae huyo mungu mtu. Ukifanya mazuri hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi au polisi kuwalazimisha watu kujua. Wahenga walisema kizuri chajiuza na kibaya kinaji.......
 


Psychoanalysis ni pseudoscience!
 


Nimesikia tetesi yule jamaa wa Agha Khan kaombwa ombwa, May be a sign of inferiority complex aka kuomba omba,

What difference does it make, yule omba omba wa Lumumba Road na waomba omba serikalini,

Anhaa, the former have inferiority complex and the latter superiority complex, but all have one characteristics in common, Omba Omba, broke and shameless, yaani jamaa wa Aga Khan yuko airport pia bila sura ya aibu anaombwa ombwa.

Foka foka nyingi, mikwara mingi ikifika wasaa watembeza bakuli!
 
kuna maombwe mengi tu kufanya bandiko hili lisipokewe kwa mikono miwili.
halina uhalisia...
maana hata Mungu aligombeza watu wake, na kuna wakati alitisha au kushuka kwa utisho leo binadamu ionekane ni udhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…