If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.
Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.
Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.
Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.
Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.
I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.
I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.
It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc
Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Actually, kama mtu hajawahi kutumia psychedelic drug ya aina yoyote basi asifikirie kabisa kuujaribu huu mmea..Wakuu nimejaribu kuufatilia huu mmea ambao Mk54 anauita datura,ila Mimi nimependezwa na jina lake vile wazungu wanauita jeemson weed/Devils trumpet, huu mmea una nguvu kubwa sana kuliko tunavyodhani,huu mmea unazo nguvu za kumfanya mtu asionekane kwa macho ya nyama.
Lakini pia huu mmea ukiutumia vibaya unazonguvu za kukufanya upate ukichaa Wa muda(moment craziness)
Kabla ya kuanza kukosoa ni vyema kwanza kuelewa kilichoandikwa.If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.
THINK, IT AIN'T ILLEGAL YET.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Am following....The Big Question is !
What is the right dose for smoking Cannabis? And what is the right dose for edibles Cannabis( for those who prefer for food) .
Well , I’m ............. this can be explained into two parts
1. Determining dose Traditionally
2. Determining dose Scientifically ( Pharmaceutical and Laboratory based)
———-
1. Traditionally
Wanauza wapi?.Baada ya kuila nilienda kulala,baada ya dakika chache tu nikaona km kuna mwili mwingine upo pembeni yangu,nikadata,ukawa unaniambia kwann nimelala mapema wakati nikichek saa(physically)ni saa saba usiku.Nikaamka nikaenda sitting nikakaa ile hali ikatoweka,cha ajabu nimerud kulala ikarud tena,kumbuka sio km ninaota yaani najielewa kabisa kwamba nipo kwenye hali ile,nikaanza kujiongelesha kwamba I want my mind back yaani nilihisi nimedata kabisa,nilipata hiyo dhoruba mpaka saa kumi na moja ndo nikapata usingizi.
NB Aliyenipa hiyo kashata anasema aliichukua akaivundika ikawa kali ndo mana ilinipeleka vile,pia mi ni jr kwenye hata kuvuta tu,all in all ilikua balaa.
Ziweke hapa mkuuKuiandaa sio tatizo, kuna taratibu ambazo ni za kawaida na sio complicated.
Nimekuja PM mkuuKuiandaa mimi nina every step, na jinsi ya kupima ili isikuletee overdose na bad trip.
Ukiwa hio dunia beyond human comprehension unaona nini? Na una feel nini?.I agree. For the first time nilipokuwa Amazon kwa ajili ya kufanya journeying ya Ayahuasca, tuliingizwa kwenye small room chenye mwanga hafifu.
And they told us to stay in a meditating way .
Baada ya 40 Mins, Nilielewa kuwa it was preparedness to spiritual journey beyond human conditions that supersede any faith.
Baada ya muda huo ; tukaitwa kwa kupata kinywaji. Baada ya kupata the DMT ndani ya Ayahuasca...... nilianza kuona how my body was dissolving to unknown realms.
Sikuwahi kujua wala kuelewa mtu akiniambia Live in Present moment. I never knew what the present moment really was untill I journeying through Psychedelic mind altering drugs.
Nature ya kazi yangu ilinifanya niwe thirsty to unknown knowledge. I don’t believe in LIMITATIONS..... , The SKY is never my limit..... infinity is never my limit ..... I don’t have any limits. I am as I am. I was I am and I will Be I am in the here now.
Katika kazi zangu ; nimehudumia binadamu wengi sana; Nimewapatia Pharmaceuticals medicine kwa ajili ya kutibu magonjwa yao huku nikijua wazi , baada ya Muda huyu mtu ataangukia kwenye ugonjwa wa ini; au ataangukia kwenye ugonjwa wa Figo.
Mwaka 2018, nilikutana na mgonjwa mmoja; baada ya consultation ya muda; nikampatia dawa ambayo it was the only solution for her. In few days , familia yake ikani contact kuwa ndugu yao amepata tatizo la memory loss; ameshatumia almost nusu ya dose .nilijua what was wrong ; niliwaambia immediately to withdraw the medicine . In few days ; the women alikutwa kajinyonga. I knew it was the medicine iliyo create the depression na suicidal thoughts. I have lots of things to share.
Kwa TZ , ukiangalia kasi ya Kansa, Ini , Figo na Impotence( Erectile dysfunction) imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 15% .... na inaonekana hatujui nini chanzo , lakini kwa wenye kuujua ukweli tunajua nini chanzo.
Dada zetu kupata mimba siku hizi ni kwa boster ya hormonal therapy.... you know something is missing.
Nimetumia hii mimea na sina Ugonjwa wowote ; I am healthy, smart , intelligent, innovative and considerate and my ability to make love is extraordinary. Sina maana kwamba na wewe utumie, i mean find your own purpose.
I worked in Tanzania, kuanzia Halmashauri.... then I grew up nikaenda NGOs ..... then nikaenda Netherland... worked there for 3( 2 yrs + few months) .... being smart and innovative....as well as considerate nikapangiwa Namibia as Country Manager at the age of less than 30 years old during that time.
I smoked bangi first time, carefully determined by this Frenchwoman, My prof.
The choise is yours ....... choice it wisely. Bila ya kufuata mkumbo
Itabidi ni mchek muuzaji kwanza kama upo au ulikwisha uzwa. But kama uko serious?Ni wapi huko na inauzwaje..?
Uko na personal experience ya Datura. Pengine uko na maelezo mengi yahusuyo huo mmea karibu utupatie maarifa hayoActually, kama mtu hajawahi kutumia psychedelic drug ya aina yoyote basi asifikirie kabisa kuujaribu huu mmea..
Uko na personal experience yeyote kati ya hizo 3 ulizosema?Wakuu nimejaribu kuufatilia huu mmea ambao Mk54 anauita datura,ila Mimi nimependezwa na jina lake vile wazungu wanauita jeemson weed/Devils trumpet, huu mmea una nguvu kubwa sana kuliko tunavyodhani,huu mmea unazo nguvu za kumfanya mtu asionekane kwa macho ya nyama.
Lakini pia huu mmea ukiutumia vibaya unazonguvu za kukufanya upate ukichaa Wa muda(moment craziness)
Pia nimejifunza kuwa mmea huu unao uwezo Wa kumfanya mtu aje kwako afanye chochote kwani akikupulizia unalala usingizi mzito matokeo yake mhusika anakufanyia chochote anachotaka..
Huu mmea ni hatari sana,nimeuogopa sanaView attachment 1783967
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hongera wajuzi mnazidi kuongezeka Mk54Sure mkuu, hata Mimi najitolea kutoa maelekezo ili yawasaidie wenye uhitaji na kipimo cha matumizi kuzuia bad trips.
Yes huu ni wenyewe,unaitwa devils trumpet (baragumu /tarumbeta la shetani) nikisema tarumbeta la shetani namaanisha tarumbeta la shetani kweli kweli,don't try it.Nimekuta hapa mbeya , ina harufu mbaya sana.
Je wenyewe?View attachment 1784277
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
**** mwanakijiji kadai huu mmea haufai huwa unaonekana kwa mbinde nimeshindwa kumwelewa na amegoma kunielekezaYes huu ni wenyewe,unaitwa devils trumpet (baragumu /tarumbeta la shetani) nikisema tarumbeta la shetani namaanisha tarumbeta la shetani kweli kweli,don't try it.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Huku niliko hata ukitaka magunia miambili ya devils trumpet nakuletea,lakini ni hatari sana huu mmea**** mwanakijiji kadai huu mmea haufai huwa unaonekana kwa mbinde nimeshindwa kumwelewa na amegoma kunielekeza
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
sijui ni miminimepitwa maana kila mmoja anasema ni hatari bila kusema hatari yake ni niniHuku niliko hata ukitaka magunia miambili ya devils trumpet nakuletea,lakini ni hatari sana huu mmea
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
If what your saying is true ningetegemea watu UsA kuwa most civilized and most caution people lakini kiuhalisia hamna watu wa ovyo kama hao just to pin point hayo mapyschodelics ndio yanawafanya wawe wanyama kabisa in fact yanaongeza rate ya suicide yani its just another trap kama cocain and heroine for specific group of people kama ilivokuwa heroine to black Americans and cocain to poor white people.
THINK, IT AIN'T ILLEGAL YET.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mkuu huu mmea ni sumu unaua ,hasa mbegu zake,na unao uwezo Wa kukufanya uwe kichaa ukitumia mbegu zakesijui ni miminimepitwa maana kila mmoja anasema ni hatari bila kusema hatari yake ni nini