Sukuma .. Ndanihalafu kumuweka KASHIMBA, pigia mshari neno KASHIMBA ..
Hizo nyingine ni mbwembwe tu, main point ni KASHIMBA
halafu kumuweka KASHIMBA, pigia mshari neno KASHIMBA ..
Hizo nyingine ni mbwembwe tu, main point ni KASHIMBA
Hivi nchi watu woote ni wanyonge au wanyonge ni akina nani hasa. Kama wewe unayedai mafao ni mnyonge na wakulima wa jembe la mkono ni wanyonge. Hebu pigia mstari wa wanyonge unaishia wapi
Rais wa nchi gani huyo asiyetaka blahNi jambo lakushangaza sana eti faili la mstaafu baada ya kukokotolewa mafao yake linachukua wiki mbili tatu au mwezi kulipwa.
Rais wa wanyonge angalia hili jipu. Faili halina matatizo, kulipa imekua shida tena.
Wanadai hupitia ngazi tatu kama hela ni chini ya milioni 50 na ikiwa zaidi ya hapo, hupitia ngazi tano ili mpaka mstaafu aje kulipwa.
Kwani hizi ngazi ziko mbinguni? Kuidhinisha tuu ili liende kwa wahasibu kulipwa, ngazi zote hizo. Mbona ngazi ni nyingi zinazileta ucheleweshaji wakulipa bila sababu za msingi.
Mh. Mkurugenzi Mkuu, tuna omba hizi ngazi zipunguzwe na malipo yafanyike kwa haraka baada ya ukokotoaji kufanyi.
Kama faili limefikia hatua ya ukokotoaji na halina shida, liende haraka na kulipwa mteja.
PSSSF, ONDOWENI: RASIMU USIO NA MAANA LINAPO KUJA SWALA LAKULIPA WASTAAFU. WANAMAJUKUMU NAO TAFADHALI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa nchi gani huyo asiyetaka blah
Jidanganye.
Sehemu zingine (mahali pa kazi ) wana issue barua ya kustaafu kwa mhusika miezi sita kabla na mhusika anaanza hizo process na nimeshuhudia mtu akipata mafao yake ndani ya wiki mbili akiisha ondoka ofisini. Namaanisha mfuko wa PPFAsilimia kubwa ni wanyonge nchi hii. Watu wanao onewa sana na walioko madarakani.
Afisa mafao yeye hajui ni mstaafu wa kesho, weka nazingila nafao yawe yanatoka haraka. Punguza murundikano wa mafaili yasio ya lazima. Unless file linamatatizo nisawa kuchelewa. Lakini faili halina shida, ni kulipa tuu, kwanini lichukue mlomlongo mrefu aka ngazi tatu au tano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha watumbuliwe akili zikae sawa kwa wengine wenye tabia kama zao