PSSSF Rais hapendi blah blah

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Ni jambo lakushangaza sana eti faili la mstaafu baada ya kukokotolewa mafao yake linachukua wiki mbili tatu au mwezi kulipwa.
Rais wa wanyonge angalia hili jipu. Faili halina matatizo, kulipa imekua shida tena.

Wanadai hupitia ngazi tatu kama hela ni chini ya milioni 50 na ikiwa zaidi ya hapo, hupitia ngazi tano ili mpaka mstaafu aje kulipwa.

Kwani hizi ngazi ziko mbinguni? Kuidhinisha tuu ili liende kwa wahasibu kulipwa, ngazi zote hizo. Mbona ngazi ni nyingi zinazileta ucheleweshaji wakulipa bila sababu za msingi.

Mh. Mkurugenzi Mkuu, tuna omba hizi ngazi zipunguzwe na malipo yafanyike kwa haraka baada ya ukokotoaji kufanyi.
Kama faili limefikia hatua ya ukokotoaji na halina shida, liende haraka na kulipwa mteja.

PSSSF, ONDOWENI: RASIMU USIO NA MAANA LINAPO KUJA SWALA LAKULIPA WASTAAFU. WANAMAJUKUMU NAO TAFADHALI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,069
2,000
Nenda hapo pssf waambie anaeshughulikia file lako kuwa unaomba ufanyiwe haraka la sivyo msalaumiane kama yaliomkuta sanga nadhani waksikia hvo watafnya haraka sna
 
MUSONI

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
825
1,000
WATOE ELEIMU KWA WASTAAFU DOCUMENTS GANI ZINATAKIWA MAPEMA KUEPUSHA USUMBUFU ….INATAKIWA MARA UNAPOMTOA KWENYE PAY ROLL SYSTEM AUTOMATIC IANZE KULIPA STAHIKI YA MHUSIKA...kama rates zake hsuika zilivyo….
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,181
2,000
Hivi nchi watu woote ni wanyonge au wanyonge ni akina nani hasa. Kama wewe unayedai mafao ni mnyonge na wakulima wa jembe la mkono ni wanyonge. Hebu pigia mstari wa wanyonge unaishia wapi
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Sio haki kabisa, eti kuna ngazi tatu sijui tano wakati hizo ngazi zipo ndani ya jengo hilo hilo. Hivi kupitisha malipo inachukua masaa mangapi?

Watu wamesubiria hela muda mrefu wakati faili zao zina hakikiwa kama zina kasoro. Baada ya kudhibitisha pasipo na shaka, faili lina pitishwa kwaajiri ya kukokotolewa. Likitoka pale wana jua ni kiasi gani anacho stahili mstaafu.

Sasa baada ya kujua ni kasi gani, eti pana ngazi. Chini ya milioni 50, faili linasainiwa na watu watatu(ndo ngazi hizo), ikiwa mafao ni zaidi ya milioni 50 faili linasainiwa na watu watano (ngazi tank hizo).

Sasa swali langu, inachukua wiki ngapi kusaini file? Na isitoshe, wore wanao tia sahihi wapo ndani ya jengo moja.

Huu ni urasimu usio kua na maana. Faili limechukua miezi 8-9, mpaka kuja kufikia kukokotolewa, halafu kulipwa nako kero nyinge, sio haki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Asilimia kubwa ni wanyonge nchi hii. Watu wanao onewa sana na walioko madarakani.
Afisa mafao yeye hajui ni mstaafu wa kesho, weka nazingila nafao yawe yanatoka haraka. Punguza murundikano wa mafaili yasio ya lazima. Unless file linamatatizo nisawa kuchelewa. Lakini faili halina shida, ni kulipa tuu, kwanini lichukue mlomlongo mrefu aka ngazi tatu au tano.
Hivi nchi watu woote ni wanyonge au wanyonge ni akina nani hasa. Kama wewe unayedai mafao ni mnyonge na wakulima wa jembe la mkono ni wanyonge. Hebu pigia mstari wa wanyonge unaishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,494
2,000
Ningemuona wa maana angesimamia kauli yake kuhusu fao la kukosa ajira
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,631
2,000
Ni jambo lakushangaza sana eti faili la mstaafu baada ya kukokotolewa mafao yake linachukua wiki mbili tatu au mwezi kulipwa.
Rais wa wanyonge angalia hili jipu. Faili halina matatizo, kulipa imekua shida tena.

Wanadai hupitia ngazi tatu kama hela ni chini ya milioni 50 na ikiwa zaidi ya hapo, hupitia ngazi tano ili mpaka mstaafu aje kulipwa.

Kwani hizi ngazi ziko mbinguni? Kuidhinisha tuu ili liende kwa wahasibu kulipwa, ngazi zote hizo. Mbona ngazi ni nyingi zinazileta ucheleweshaji wakulipa bila sababu za msingi.

Mh. Mkurugenzi Mkuu, tuna omba hizi ngazi zipunguzwe na malipo yafanyike kwa haraka baada ya ukokotoaji kufanyi.
Kama faili limefikia hatua ya ukokotoaji na halina shida, liende haraka na kulipwa mteja.

PSSSF, ONDOWENI: RASIMU USIO NA MAANA LINAPO KUJA SWALA LAKULIPA WASTAAFU. WANAMAJUKUMU NAO TAFADHALI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa nchi gani huyo asiyetaka blah
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Mashirika haya yana nyanyasa sana watu.
Wanaona mstaafu hana maana tena, hata yule alive achishwa kazi anamchango alio ufanya. Wengine wameachiwa kwa fitna tuu.
Kwahiyo, customer care ukiwa mtafuta wateja wengine kujiunga na mfuko wako, basi huduma kwa wateja iwe ya hali ya juu. Kwa mtindo huu, wa ngazi tano, maombi kuchukua miezi kumi, itakua ndoto kupata wanachama wengi.
PSSSF, BADILIKENI MUSIMVUNJE MOYO RAIS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,181
2,000
Asilimia kubwa ni wanyonge nchi hii. Watu wanao onewa sana na walioko madarakani.
Afisa mafao yeye hajui ni mstaafu wa kesho, weka nazingila nafao yawe yanatoka haraka. Punguza murundikano wa mafaili yasio ya lazima. Unless file linamatatizo nisawa kuchelewa. Lakini faili halina shida, ni kulipa tuu, kwanini lichukue mlomlongo mrefu aka ngazi tatu au tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu zingine (mahali pa kazi ) wana issue barua ya kustaafu kwa mhusika miezi sita kabla na mhusika anaanza hizo process na nimeshuhudia mtu akipata mafao yake ndani ya wiki mbili akiisha ondoka ofisini. Namaanisha mfuko wa PPF
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Mara zote watendaji was Rais wamekua wanamuangusha mheshiniwa sana kwa kumdanganya na kutoa ahadi za uongo. Mwaka Jana Sanga huyu alie tumbuliwa aliahidi ifikapo January 31, 2019, atakua ameshalipa madai yote yawa staafu.
Leo ni 20/02/2019, ndo kwanza tunaambiwa maswala ya ngazi tatu sijui ngazi tano zauidhinishaji. Ina maana Alisha Ku perform kwa viwango. Kinacho hitajika ni mafaili kutembea haraka. WAKURUGENZI WASIPENDE KULAZA MAFAILI YA WASTAAFU KAMA HALINA MATATIZO. NA FAILI HALIWEZI FIKIA HIYO NGAZI KAMA LINAMAPUNGUFU.
Hivi nikweli PSSSF haiwezi kulipa watu vihela vidogo vidogo hivi wakapunguza kero na malamiko kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
952
1,000
Wacha watumbuliwe akili zikae sawa kwa wengine wenye tabia kama zao
 
kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,396
2,000
Kutumbuliwa sio issue, tatizo ni mazoea. Hii mifuko walishakua sugu, hawataki kubadilika na wakati. Tupo karine ya 21, huduma zao za karine ya 20, haiwezekani. Na mkumbuka Santa alie tumbuliwa wakati akipewa ofisi alisema, by this year January, watakua wameshawalipa wastaaf wote. Aliahidi uongo!
Hadi leo mafao ya watu ni kizungu mkuti. Alisema kuanzia mwaka huu, wastaafu watakua wanapata mafao yao wataki wakinywa chai on the same day. Kiko wapi?
Tatizo mazoea yakunyanyasa wastaafu wakati na wao ni wastaafu wa kesho. Inauma sana mstaafu unahangaishwa kiasi hiki kupata haki yako.
Mbona hela za vimiradi vyao inatoka haraka mno, tens mabilioni kuliko tumafao twa makapuku sie walala hoi. Why? Justice delayed is justice denied.
Wacha watumbuliwe akili zikae sawa kwa wengine wenye tabia kama zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,206
2,000
Aliyeyeuliwa Arekebishe kasoro zilizofanya mwenzie atumbuliwe.
Asije akafanya kama wa NIDA.
Wa NIDA kafukuzwa na kesi juu, lakini aliyewekwa naye ni yaleyale, vitambulisho kwa waTz ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom