kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Kama kuidhinisha malipo ya mafao kwa wastaafu walio kokotolewa na kudhibitika wanastahili kulipwa inachukua zaidi ya wiki tena.
Huu ni uzembe wa hali ya juu. Faili la mtu halina tatizo, kusaini ili liende kwa wahasibu ni shida. Au shirika halina hela? Haiingii akili mtu amekokotolea mafao yake baadae ichukue tena wiki au wiki mbili ntu kupata hela yake.
Sasa muingiza ujanja mwingine eti ngazi tatu au tano. Hizo kazi ziko Mbinguni? Watumishi kama nyie ndo mnaofanya mfuko uonekane huna kwa wadau. Kwa urasimu huu, hamuwezi kupata Wanachama wapya.
Sisi wastaafu ndo mabakozi wa mfuko kuhusu huduma zenu. Kama sisi tulioko ndani tunapitia matatizo kama haya ya ucheleweshwaji na urasimu kulipwa, munafikiri tutawahamasisha watu kujiunga kweli?
Wakurugenzi chapeni kazi, ondoeni mafaili ya wateja wenu ofisini. Sio kuwa na mrundikano wa mafaili ofisini. Nk uzembe kwa Mtumishi, badilikeni, lipeni kwa wakati jamani. Value for money please
Kwa menendo huu, wengi watatumbuliwa tuu, hakuna ufanisi PSSSF.
Sent using Jamii Forums mobile app