PSSSF lipeni wastaafu wa 2018, mbona mnawatesa?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Hakika inasikitisha sana kuona Wazee wetu Wastaafu wanahangaika mpaka leo kupata MAFAO Baada ya Kustaafu Mwaka 2018. Wazee hawa wamekuwa alienda Ofisi za Mkoa wa Kinondoni lakini Hakuna Mafanikio yoyote sana wanaambiwa kuwa Hata wao Wanasubiri kutoka Makao Makuu.

Kuna Baadhi ya Wastaafu waliamua kwenda Dodoma lakini bado nako Majibu ni yale yale na sasa ni Mwaka wa 3. Hebu jiulize Wazee hawa Wastaafu wana Familia hawana Kipato chochote Je, Wanaishije?

Tunaiomba Serikali iwaangalie Wastaafu hawa kwa Jicho la Huruma WALIPE MAFAO YAO kwani ni HAKI na JASHO LAO.
 
Sheria mpya ya mafao ya 2018 ifutwe..

Meko aliweka hii sheria kupora fedha za wanyonge'

Eti hakuna kulipwa mafao yote kwa skilled staff mpaka ustaaff

NSSF na PSSSF Ni sheria takataka kabisa za fao la kukosa ajira
 
Back
Top Bottom