Mkuu uliingia kwenye chumba cha mtihani ukakutana na haya maswali kweli? Mimi nilifanya hilo pepa ila sikukutana na hayo maswali lakini nakumbuka kuna mwamba alikamatwa na simu wakulungwa wakampatia pepa lingine na akafanya akiwa chini ya uangalizi maalum, au ndio wewe?