PSPTB v/s CIPS

PSPTB v/s CIPS

windows8.1

Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Wadau! Ipi kati ya hizo itanifaa zaidi kwani nategemea kuanza kufanya mitihani ya moja wapo. Kitaaluma nina shahada ya elimu na post graduate diploma in procurement and logistics management.
 
Cips kwan ukimaliza cips utakuwa umequalify kimataifa then chet chako cha cips ukikipeleka psptb wanakupa na chet cha psptb kwa level uliyofikia hivyo kwa kufanya hvyo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja
 
Du!asante nimekusoma sana mkuu.
 
Mimi nafanya cips level5 karibu kwa msaada angaliz get prepared well
 
mzee shukurani kwa mada hii, je kuna mtu anaweza kusaidia pia kucompare kuhusu gharama zao!!Msaada pia kwenye hili

Ni expensive but ukilipia mapema n € 68 na pelnaty 74 pia it depend variation ya currency na hela ya madafu
 
Watu mnasoma kweli mpaka naona wivu hapa nimetoka kapa sijaelewa kinaongelewa nini
 
Mkuu tupe taratibu za kusoma CIPS,na wapi review classes zinapatikana,pia mimi nina CPSP,nitaanza level gani CIPS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom