K Kimboko Member Joined Nov 16, 2010 Posts 56 Reaction score 7 Jan 6, 2014 #1 Wenye taarifa sahihi wandugu tusaidiane kijana wangu aliomba kazi yapata mwaka sasa, sijui kama wameshaajiri au wamefanya interview. Na inakuwaje inachukua muda mrefu hivi bila ajira????
Wenye taarifa sahihi wandugu tusaidiane kijana wangu aliomba kazi yapata mwaka sasa, sijui kama wameshaajiri au wamefanya interview. Na inakuwaje inachukua muda mrefu hivi bila ajira????