Mfuko Mzuri ni LAPF hawa PSPF wasanii sana hatimaye watu wameanza kuujua ukweli wakati naajiriwa kwenye ualimu niliwahi kuwachana live kuwa waongo sana sasa hivi wanawadanganya watu kuwa wanatoa viwanja,sasa kama mkopo wa kujikimu ni Magumashi pamoja na mbwembwe zao zote walizokuwa nazo wakati tunaripoti mwezi wa 5 hawa jamaa hawafai