Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
pspf wasanii sana
Ndugu zangu kipindi naajiriwa pspf walinishawishi kwamba nikichangia Mara 6 wananipa mkopo ambao ni mshahara wangu X3 (basic)
Baada ya kuchangia X6 nimefata wakaanza ahadi kama za wagombea.
Kusema ukweli sijawaelewa.
Hivi kuna possibility ya kuhama mfuko?
tumeshadahau mara hii kuwa hawa ppspf wamekopwA na serikali hij ya kifisadi ya ccm zaidi tri 8
Duu Mmenitia Hofu, Mi Mwanachama Ninakaribia Kusitafu Baada Ya Muda Mfupi!
Mimi nimehama juzi juzi kutoka PSPF Znipo LAPF kama hujapata kitambulisho mfuate afisa utumishi kwamba unataka kuhama.