N ntahagaye Member Joined Feb 28, 2013 Posts 92 Reaction score 19 Dec 20, 2015 #1 Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa PSPF nimechangia kwa miezi arobaini . Nilikuwa nauliza, je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo.
Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa PSPF nimechangia kwa miezi arobaini . Nilikuwa nauliza, je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo.
K kajunju JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 999 Reaction score 317 Dec 20, 2015 #2 wewe ulikuwa na vyeti feki? walimu wengi mnalia kwan vyeti fake vinawavua nguo
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 11,832 Reaction score 18,090 Dec 20, 2015 #3 Hata ualimu wako feki! Ninyi ndiyo mnaidhalilisha kada ya ualimu!! Unashindwa hata kwenda ofisini kwao, wapo kila mkoa unabaki kupiga mayowe JF!!
Hata ualimu wako feki! Ninyi ndiyo mnaidhalilisha kada ya ualimu!! Unashindwa hata kwenda ofisini kwao, wapo kila mkoa unabaki kupiga mayowe JF!!
T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,367 Reaction score 1,850 Dec 20, 2015 #4 Pole Sana mwalimu mwenzangu tuliyeanza wote kaz mwaka 2011. Jaribu kuwafata ofisini kwao. Ila sidhan km itawezekana.
Pole Sana mwalimu mwenzangu tuliyeanza wote kaz mwaka 2011. Jaribu kuwafata ofisini kwao. Ila sidhan km itawezekana.
Donyongijape JF-Expert Member Joined May 28, 2010 Posts 1,497 Reaction score 814 Dec 20, 2015 #5 PSPF Wamefirisika. Hawajalipa mafao ya mtu yeyote tangu Mwezi March. Hio hela huipati leo wala kesho. Andika maumivu.
PSPF Wamefirisika. Hawajalipa mafao ya mtu yeyote tangu Mwezi March. Hio hela huipati leo wala kesho. Andika maumivu.